المدة الزمنية 11:28

APIGWA NA KUTEMBEZWA MTAANI NA MASHOGA ZAKE KISA UMBEA/

بواسطة Geah Habibu
53 453 مشاهدة
0
514
تم نشره في 2020/06/14

Binti huyu kutoka maeneo ya Ilala jijini Dar es salaam anamalalamiko yake kuhusu mashoga zake aliokuwa akiishii nao nyumba moja na kuzungumza nao mambo mengi tu.Anasema marafiki hao wamemgeuka na kumwambie yeye mmbea ilihali maneno walikuwa wakiyasema wote,lakini mwisho wa siku baaada ya kugombana walimvizia na kuanza kumshambulia kwa maneno na kumpiga kisa tu umbea.!Msikilize binti mwenyewe akieleea tukio zima lilivyokuwa #geahhabibu #GeahTv

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 410
  • @
    @latriciah01augustino67منذ 4 سنوات Ndomaana sitaki ushoga mimi
    Shoga angu Instagram
    62
  • @
    @kitkat-pr4mvمنذ 4 سنوات Hehhehe mie shoga angu mamaangu staki unafki miee 54
  • @
    @niaanthony9588منذ 4 سنوات Sijawahi kusikia wanaume wamesutana sijui wanawake tunakwama wapi alafu baadae ohoo wanaume wanazalilisha wanawake wakati ss wenyewe ndo wa kwanza kudhalilishana lo! 39
  • @
    @MsMayna-ih6uqمنذ 4 سنوات Urafiki mwingine sio wa lazima. Hao sio marafiki kama wanakuletea maafa. Marafiki wanatakiwa wakuambie unapokosea na kukurekebisha ili uendelee kujielewa. 6
  • @
    @janetdaniely7945منذ 2 سنوات Daah so sad pole mamy serikari hiingirie kati Ili jambo aki!! 1
  • @
    @khadijaamour7654منذ 4 سنوات Kusutana msutane ila sio kuvuana nguo kupigana kuzalilishana pia vijana tafteni kazi mfanye mana mkiwa bzy na kazi hamtakua na muda wa kuzua uongo mtaani 26
  • @
    @alirahma8967منذ 4 سنوات wallah inauma dada usikubali,peleka mahakani mmbwa hao,hawana hata haya,malaya wakubwa 13
  • @
    @halimaomari7589منذ 4 سنوات Hawa wamama wa uswahilini wengi hawana kazi za kufanya ndio maana wanafanya vituko hivi 16
  • @
    @evaristmropeمنذ 4 سنوات Daaah ila wamekosea kujichukulia sheria mkononi je angepigwa na kufa??? Matatizo mengine huwa tunajitakia wenyewe 36
  • @
    @user-sh5wo9dc4tمنذ 4 سنوات subhana Allah; mungu atusamehee kwakweli maana unavyomfanyia mwenzako ujue nawe utafinyiwa na kama sio ww basi ndugu zako au wanao; mwenzio akikosea mwite mwambie na sio kumzalilisha 12
  • @
    @asiaabdala88منذ 4 سنوات Pole dada wenyewe wamekushusha mungu atakukweza, dunia ningumu 2
  • @
    @isunga1964منذ 4 سنوات Mmmh wanawake jamani ndoo maana marafiki wangu wengi ni wanaume mpaka baba alikuwa anakasirika jamni 6
  • @
    @zhmzzz9061منذ 4 سنوات SubhanaAllah, hawana haya looooh, mwezi mtukufu mwenzenu kafunga mnampiga na kumdhalilisha mtaani hivo loooo, kaa nao mbali hao sio shoga wazuri, Sheria ichukuliwe mkondo wake
  • @
    @ummoislam4832منذ 4 سنوات Mmm.hata hamna cha ramadhani mwenzenu amefunga mwamdhslilisha,,,mungu atakusimamia 6
  • @
    @camillacaroline8996منذ 4 سنوات Wanawake sijui tunakwana wapi, mnamdhalilisha mwanamke mwenzenu as if nyinyi ni wakamilifu, pole Sana dada Mungu atakulipia.
  • @
    @bibiemohd3847منذ 4 سنوات Hamna kazi za kufanya mkae majumbani mwenu ,vibaraza sio vizuri. 1
  • @
    @bintiiddy7043منذ 4 سنوات Duh Ndio maana spend Kuwa na marafiki wasio jitambuwa 5
  • @
    @user-eg1dr6so4cمنذ 4 سنوات Mm ndomaana sitaki ushoga
    Shoga yangu Mkubwa ni Facebook
    16
  • @
    @asiakilea2590منذ 4 سنوات Hawajamtendea haki kabisaaa wote wambea wamemuonea tuu 14
  • @
    @julianayesayamwailolo8240منذ 4 سنوات Namshkuru Mungu mm shoga angu kipenzi mdogo wangu wa tumbo mojaa. Tunasogoaa weeee yanaisha hapo 3
  • @
    @manalalamry8285منذ 4 سنوات Imeniuma jaman kumchania mpk nguo alf kumchukuwa video 11
  • @
    @nathalieswedy3653منذ 4 سنوات Wanawake sjui tunakwama wap mana apo wanaonyesha wanawivu pia wa maisha dah ndomn sna shoga 3
  • @
    @arafakiloli749منذ 4 سنوات Pole sana mpendwa. sijui kama nitakua na shoga.
  • @
    @africandarling6925منذ 4 سنوات Mmhhh waje kwangu waone mbwa Hao kweli mmemuonea kwa kuwa mnyonge dooo mtu hanitie kofi pwaaa mmhh Aisseh 9
  • @
    @sharifaabdullah6825منذ 4 سنوات Fear habibu VIP ile ishu yayule mama anaumwa miguu alietelekezwa na mume wake tupe muendelezo dear nakukubali ❤❤ 6
  • @
    @nyembogwazibaka8655منذ 4 سنوات @Evarist mrope kwakweli c vizuri tena alifunga
  • @
    @namisgiggah1571منذ 4 سنوات Ndio maana Hawa viumbe watakua wengi motoni, yaan mambo ya peke yao hapa duniani 8
  • @
    @namsamson3443منذ 4 سنوات Watu siku hizi wanapenda kujichulia maamuzi mikononi mwao..inabidi wachukuliwe hatua kali liwe fundisho kwa wengine. 2
  • @
    @miriam5735منذ 4 سنوات @wanawake live mmeona tukio hili iko wapi haki yake na wamechukuliwa hatua gani? imekuwa kawaida kwa wanawake kudharirishana namna hii, ukweli mm siku id="hidden6" class="buttons"> nikitanyiwa hivi nitaua mmoja hali mwingine pumbavu, kila siku watu wananyanyasika kwa sababu sheria hakuna tanzania ....وسعت 15
  • @
    @lantaleonard289منذ 4 سنوات Muangalie namakundi yacyo faa co vizuri
  • @
    @salmafikirini4899منذ 4 سنوات Kwanza pole sana dada, na hakuna mtu asie mbea duniani, ila usikubali hakikisha unapata haki yako 1
  • @
    @mozasaid3869منذ 4 سنوات Dah! Sijawapenda mlofanya kitendo hicho! Wenzenu wanapambana na maisha nyie mnagangaika na ujinga km huo!, Wanawake wanafanya maendeleo nyie huko mnahadhiriana! Acheni ujinga! Muogopeni mwenyezi mungu! 1
  • @
    @tamimakhalfanikhani8403منذ 2 سنوات laki tano kidogo dada angwambia million moja
  • @
    @mohamedzaina8585منذ 4 سنوات Yaan ukishaona wadada/wamam wako zaid ya wawil et ni marafik hapo kuna kua hmna urfk ila ni unafki tu.kwanza mnapat wapi muda wa kujichanagnya na watu kiasi iko.acha yawakute yakuwakuta na ujinga wenu. 1
  • @
    @omanmuttrah4132منذ 4 سنوات Hivi mumpige hamekwenda polisi kuashitaki hili mumtibie mazaa kusema anataka pesa yakunilia kitandaa mlivyompiga mlitegema nini 1
  • @
    @alsam4881منذ 4 سنوات Kuishi uswahilini ni kazi sana na inataka moyo, Na elimu ya mjinga ni majungu.
  • @
    @elizakileo9125منذ 4 سنوات Mmh kazi kweli kuwa na marafiki wengi wasiojitambua ndio tatizo
  • @
    @nadrahassan5241منذ 4 سنوات Dada pole sana ningelikuwepo Wallahi wange ongea na ngum
  • @
    @bbb6nnn561منذ 4 سنوات Nawew latifa mwanangu ume zubaaa mbona tifa wangu moto wana kushinda kina tatu sisi wallah wakorofi sana pole mtt wangu
  • @
    @hejmabohejhej9منذ 4 سنوات Shoga angu mwanangu,kazi yangu na bwanaangu sitaki shoga mie unafiki mtupu 1
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Nm shoga yng mwanaume wang na dada yng mama sina alishatangulia lkn angekuwepo maa ndio eafiki kwakweli
  • @
    @hawamvimba9514منذ 4 سنوات Hata km alisema c aliwaomba msamaha kwann waliamua kulzalilisha jamn yan wanawake wa hvy wachukuliwe sheria wafungwe tuu hao washenzi 2
  • @
    @subiramohd1895منذ 4 سنوات Hee bongo mmezidi jamaani watu kudhalilishana tuuu dar jamani watu punguzenii sisi masikini ndo tunashida matajiri aaka wanatafuta pesa sisii kusutana tumkumbuke mungu jamanii 3
  • @
    @mligosandrah7851منذ 4 سنوات Sheria ichukue mkondo wake kama.Kwa Dada wa.Moshi 3
  • @
    @hadija846منذ 4 سنوات unamuhoji vipi umemsaidiaje dada wa watu? pole sana ndugu Yaani haya mambo yanakera sana pumbavu zao hao machangudowa
  • @
    @hellenmanzi4740منذ 4 سنوات Uzeni hata miogo nyie achen ushoga uyoga 2
  • @
    @subirapowerpower8266منذ 4 سنوات Daaaah hivi Kuna ulazima wakuwa na mashoga
  • @
    @rechombaga5872منذ 4 سنوات Mmh napigwaje kwanza nawanawake wenzangu Yani ni wangejuta pole dada walikuona mnyonge 2
  • @
    @zaidankasamya2211منذ 4 سنوات Adi nimetowa machozi..pole Dada usiwasamee 1
  • @
    @rogermwanawahunda884منذ 4 سنوات Nenda nao mahakani ukawafunge hao Kama wanakutanhazia unashida ya hela 1
  • @
    @ameenasur656منذ 4 سنوات Yan sis wanawake hatupendan siwez kumzalilisha mwanamke mwenzangu maana alivyo yeye ndio mimi nilivyo bola mngemsuta tu nasio kumvua nguo 1
  • @
    @rinaalbaloushi2981منذ 4 سنوات Pole sana mie maisha yangu sina shoga wala simtaki shoga
  • @
    @tatuhamisi4838منذ 4 سنوات Kwa kweli mbea sijamuona.,hata muonekano mmemuonea
  • @
    @zulfatdidas369منذ 4 سنوات Wanawake Ndio maana tunadharaurika unaanzj kumfnya hvo Mwnamk Mwnzko khaaa 6
  • @
    @fatmahobah1042منذ 4 سنوات Mfyuuuuu ndomaana sinaga mashoga cjui udugu mfyuu shogaangu mamaangu tu
  • @
    @irenemacha7457منذ 4 سنوات Kukosa kazi mngekuwa na kazi msingefanya hayo mambo ya kipuuz 1
  • @
    @seitali624منذ 4 سنوات Huyo dada namjua mate acha urafiki nao
  • @
    @zubedabakari5817منذ 4 سنوات Tumuombe Allah atulinde na mitihani mizito ya Duniani. 1
  • @
    @hawaynatimam982منذ 4 سنوات Ushahidi wa video upo kwann asiwashtaki 1
  • @
    @juliethhouseofdesigns147منذ 4 سنوات Uyu Latifa atakuwa mzuri kawazidi alafu anajielewa, kwahiyo wivu wanaamua kumtundikia lawama.
  • @
    @teychriss3248منذ 4 سنوات Uswahilini kuna vituko jama! Haya mambo bado yapo karne ? 2
  • @
    @mligosandrah7851منذ 4 سنوات Mashogaaa sina kabisaaaaa yanii now wanajifanyaaa wazuri kwajili nipo nao mbali
  • @
    @wemakalamu3538منذ 4 سنوات Hapa pagechimbika jamani sikubali mambo haya
  • @
    @rachelmsekena603منذ 4 سنوات Ndo maana sinaga shoga wala rafiki kama alivyosema huyo mpambe hapo pembeni wanawake wote wambea. 3
  • @
    @ladylady8440منذ 4 سنوات Du hawa waliokufanyia hivyo hawana hata hofu mungu wanakunyia hivyo mwezi mtukufu mshatakie mwenye zimungu tu ndio kila kitu 2
  • @
    @shammoha5297منذ 4 سنوات Pole dadaake. Lakini ndio ujui kuchagua marafiki. Ukimuona anakuletea udaku ujue huyo sio rafiki, kaa mbali nao
  • @
    @AishaAisha-rh1fcمنذ 4 سنوات Ww dada saka pesa ujelipa kisasi kwa kila 1 mbuzi hao 1
  • @
    @jamilamfumike7445منذ 4 سنوات Yani nilivo apa ningemkamata 1 nahakikisha ningekufa nae
  • @
    @wamartincypoمنذ 4 سنوات Mungu wangu wanawake ,kwanini unafanyia mwenzake hivi
  • @
    @minazsaid2470منذ 4 سنوات Tatizo kubwa duniani kwasasa binadam tumekosa Utu na Imani imepotea
  • @
    @estakapufi7582منذ 4 سنوات Mimi ningewashitaki kabisa uswailini kunavituko
  • @
    @zulfamohamed4549منذ 4 سنوات Awo washitakiwe haki ifate mkondo wake siyo wangariwe t
  • @
    @trinahansi5265منذ 4 سنوات We waangalie watagombana tu wenyewe kwa wenyewe
  • @
    @sashaalimwakudza4217منذ 4 سنوات Saai mtoa pesa kwa kumuvulia nguo mwazenu
  • @
    @mamawa3mamawa321منذ 4 سنوات Huyu mwanamke achukue hatua Kali na asikubali maneno ya kuelewana mtaani sheria ifate mkondo wake 1