المدة الزمنية 11:14

Jinsi ya kujenga MISULI Mingi bila mafuta kuongezeka | kujaza mwili

بواسطة Joan Fitness TV
561 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2021/05/20

Kujenga na kukuza misuli inaweza kufanyika kwa namna tofauti tofauti, unaweza kuchagua kujenga misuli mingi bila kujali kiasi cha mafuta kitakachoongezeka(dirty bulking) na baadae uje ufanye cutting au unaweza chagua namna nyingine ya kujenga misuli mingi bila kuongezeka mafuta mengi mwilini(smart bulking) na baadae wakati wa cutting hutakuwa na kazi ngumu ya kuondoa mafuta mengi jambo litakalopelekea misuli ijichonge kwa haraka zaidi. Katika video ya leo tutaangalia jinsi ya kufanya smart bulking. #bulking #musclegrowth

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3