المدة الزمنية 27:38

1ON1 na Barbara Gonzalez | Mipango, mikakati, malengo na ndoto kubwa za Simba SC (Exclusive)

بواسطة Azam TV
45 335 مشاهدة
0
339
تم نشره في 2021/05/07

Ni mahojiano ya ana kwa ana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ambaye ameeleza kwa kina mipango, malengo na ndoto kubwa alizonazo kuipelekea Simba 'next level' (viwango vya juu) . Hapa anazungumza na Philip Cyprian na miongoni mwa mambo aliyoweka wazi ni kuhusu mchakato wa mabadiliko, usajili, mipango ya kufanya vizuri kimataifa pamoja na matarajio yake kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba vs Yanga Mei 8, 2021. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 65
  • @
    @ckanjason7675منذ 3 سنوات Yes Barbara.you're a real Simba suporter,leader,fun,organizer.wooow! Im really apreciating yo views mydear sister. Yo'so smart Barbara. This is Simba the next level! 1
  • @
    @solomonmassangya8187منذ 3 سنوات Tunakupenda CEO wetu uko vizuri unasifa zote
  • @
    @rehemabakali494منذ 3 سنوات Dada km dada maashaallah Allah akusimamie ktk kila hatua yko ila umependeza na ulivyojistiri umebadilika 4
  • @
    @andulilemwakihabha2048منذ 3 سنوات Nakukubali Sana sister Barbara wew ni mchapa kazi mtu wa kazi Simba nguvu moja ❤️ 5
  • @
    @isayastephan2026منذ 3 سنوات Hongera sana CEO wetu Mungu akupiganie 2
  • @
    @silivanatemu3090منذ 3 سنوات Hongera Sana madame,upo vzr sana,Mungu akujaalie na pia azidi kuijalia SSC 4
  • @
    @waziribori2280منذ 3 سنوات Wanasimba tumepata kiongozi mwenye weledi wa uongozi kiujumla kisoka, kibishara kwa modern ya soka ya sasa hivi big up ceo wetu wengi tunakukubali sana 2
  • @
    @hayramswalehe4976منذ 3 سنوات Umependeza mrembo uko tofaut xana,xhungi umefunga vizury xana washa moto me nakupenda sana kwakua hauna asil ya dharau 1
  • @
    @zumbeshauri8114منذ 3 سنوات NAomba mungu simba ishinde kumuheshimisha huyu dada wallah wanawake wanaweza wakiwezeshwa 2
  • @
    @NR-ll4srمنذ 3 سنوات Nice interview,,,Bab u know how to talk 1
  • @
    @kelvin8324منذ 3 سنوات This is what i call cool interview.beauty n brains .All Africa giant magazines should meet madam C.E.O.
    ME:wakenya munasemaje?
    Kenyans:madam C.E.O ni mkenya‍♂️
    1
  • @
    @tanzaniatouristsattraction1622منذ 3 سنوات Hawa ndo watu wa kusikikiza sio.kina lulu diva 2
  • @
    @rwangakugwabirakarl88منذ 3 سنوات Tu es vraiment jolie# Barbara Gonzalez
  • @
    @abdulmalickupete9015منذ 3 سنوات Endelea kujistiri unapendeza na niheshima kwa kwako na simba sc 3
  • @
    @abbyadams8691منذ 3 سنوات Mi ni mwananchi damu ila huyu dada namkubali kwa kweli, kichwaaa sana. 2
  • @
    @ayoublupande3987منذ 3 سنوات Umependeza San ushungi CIO wetu tunakupenda 1
  • @
    @davidicjunior8969منذ 3 سنوات Hongera sana mungu akuzidishie utashi katika Maisha yako na uongoz wako katika timu big up Madame 6
  • @
    @geofreysenka7091منذ 3 سنوات Mwashi kitoko ya Simba arobi makambo ya bien Toujour makambo Madam Gonzalez ZAMBE pesa lupemba
  • @
    @azizhamed6201منذ 3 سنوات Mashallah dada wewe mzuri na umependeza kweli ulivyo vaa hijab yaani muislam kamil badil dini basi nikuowe 1
  • @
    @yussuframadhan7955منذ 3 سنوات Ilike barbra the way of talk and answer question she confident keep it up 3
  • @
    @annasamo7063منذ 3 سنوات Maswali yako ni ya kisomi wote nawaelewa kila LA heri simba
  • @
    @mzahaمنذ 3 سنوات Eti kuna wahuni wanasema babra sio mtu wa mpira watuache kidogo 1
  • @
    @petermaeja502منذ 3 سنوات Mtangazaji umeshindwa kuuteka wigo wote wa Madam, she is so smart nahisi ungeandaa maswal mazur zaidi angetoa elimu nzuri sana 5
  • @
    @mussamussa952منذ 3 سنوات Wewe dada unapendeza sana ukiwa umevaa ushungi kuliko ukiwa wazi. Utanisamehe bure binafsi nakuona mpya sana na nakupenda kwa ajili ya ALLAH unapokua umejistiri id="hidden5" class="buttons"> kama hivo. Hongera sana na mungu akupe imani ya kuvaa hivo muda wote. Ufate modality ya mama yetu RAIS SAMIA.
    ....وسعت 2
  • @
    @mckobatz5861منذ 3 سنوات Huyu mchumba ana akili kubwa sanaaaaa.
  • @
    @AbdillahSOthmanمنذ 3 سنوات Mwanamke ni stara, lau wangejua kuwa uzuri wa mwanamke ni kujifunika asionekane mwili wake na thamani yake ilivyo basi wanawake wangelikataa kujiachia na kuonekana na kila mtu.
  • @
    @saidsalum6101منذ 3 سنوات Barbra nimependa sana majibu yako dada yameenda shule siyo wakukurupuka hasa ulivyo malizia kwawatani upo vizuli sana mama 3
  • @
    @mussamussa952منذ 3 سنوات Wewe dada unapendeza sana ukiwa umevaa ushungi kuliko ukiwa wazi. Utanisamehe bure binafsi nakuona mpya sana na nakupenda kwa ajili ya ALLAH unapokua umejistiri id="hidden10" class="buttons"> kama hivo. Hongera sana na mungu akupe imani ya kuvaa hivo muda wote. Ufate modality ya mama yetu RAIS SAMIA.
    ....وسعت 2