المدة الزمنية 2:48

''WEMA AHUKUMIWA/ WASANII WAACHE MAMBO YA OVYO'' - ALBERTO MSANDO

بواسطة Wasafi Media
6 324 مشاهدة
0
67
تم نشره في 2018/07/20

Wakili Alberto Msando Ambae alikuwa Akishughulikia Kesi ya Msanii Wema Sepetu Amesema Kuwa Wema Amefanikiwa Kulipa Faini aliyotakiwa kutoa Hapa Mahakamani na sasa anaweza kuendelea na Maisha Yake kama kawaida. Alberto Msando amewashauri pia Wasanii waachane na Vitu ambavyo havitawasaidia kisaa na wajihusishe kwenye vitu vyenye Maendeleo Katika Career Zao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 21
  • @
    @gloryjimson8353منذ 6 سنوات hongera sana madam Wema nilikuwa nakuombea usiku na mchana uwe salama kipenzi nashkuru imekuwa hivo Mungu mwema Mamaang mshukuru Sana Mungu ila Usirudie id="hidden1" class="buttons"> tena mpenzi Fanya kaz kwa bidii tena halali achana na kaz au biashara haramu kipenzi Sawa Eeh mie nakupenda mambo ni hv ....وسعت 3
  • @
    @HassanMohamed-iu8hfمنذ 6 سنوات Mungu yupo pamoja na wema twashkuru san wasafi tv kwa kutuletea matukio
  • @
    @saumuhassan1365منذ 6 سنوات Alhmdulilah, sasa mambo ya hovyo acha my dear wema tunakupenda sana sana.
  • @
    @ashanasoro1739منذ 6 سنوات Tunakupenda my love achana na hayo mambo ss