المدة الزمنية 1:26

RUMAFRICA tunakukaribisha hekeluni mwa Bwana

بواسطة RUMAFRICA
148 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/07/17

RUMAFRICA | Tegeta Kibo ChaTembo karibuni hekeluni mwa Bwana kwa maana ni ebeneza kufikia Julai 10.2021. Ni mkono wa Mungu tu bila Yeye hatuwezi. Mungu yupo na Mungu anatenda nitazidi kushuhudia matendo makuu ya Bwana bila woga na bila kuficha kwasababu kwa kufika hapa ni ebeneza tu. Wapo waliotamani kufika hapa leo lakini hakuwezekana ila mimi na wewe tunazidi kupumua na kubarikiwa ni lazima sifa na utukufu tumrudishie Mungu aliyetuumba na kulinda mpaka leo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2