المدة الزمنية 5:6

NYALANDU: MKAJIPANGE/TUKICHUKUA NCHI HAMTAISOMA NAMBA

بواسطة MwanaHALISI TV
6 871 مشاهدة
0
47
تم نشره في 2020/07/19

Mgombea Urais kwa tiketi ya Cham cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lazaro Nyalandu amesema Serikali yake haitakuwa ya kuwafanya wapinzani wake (CCM) waisome namba kama wenyewe wanavyoimba kwenye nyimbo zao ya kuwa upinzani wataisoma namba.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 50