المدة الزمنية 3:46

HARMONIZE azililia TUZO za muziki Wasanii tunashindana kulipa tupate views You Tube tu

بواسطة Simulizi Na Sauti
7 677 مشاهدة
0
236
تم نشره في 2020/07/04

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 91
  • @
    @donomar68764 years ago Tuzo Tanzania Ni Ngumu Sanaaaa ...Unafiki na Upendeleo wa Wadau....Tujiulize Zile Za Zamani Ziliiisha Vipi ? 8
  • @
    @whatif..69614 years ago Amekosa Kazi! Hayo matuzo kila siku Nigeria watu wanatukanana! Si bora uuze muziki youtube upate hela ya kumvisha Ibra! Hata tuzo zikiwepo ugomvi utaibuka wanapendelea! Bora hali iwe kama ilivyo as long as unafanya shows zinakuingizia pesa. ... 15
  • @
    @nishasalim28804 years ago He is right.
    He is talking for everyone.
    5
  • @
    @UrboYoG_8304 years ago 😂😂😂😂kyii tuzo za tz zanini sasa amakwwlii... Me naona huyu jm anamuone wivu mond tu period 6
  • @
    @janetwawira56734 years ago Ambao hawajui harmonize ako na tuzo tatu tayari ako na ya Affrima best new comer,ako na ya WhatsApp TV... 1
  • @
    @zaitunisinamenye17994 years ago Ajili ya u team Tanzania, unaweza kukuta tunzo anapewa mwenye kazi mbovu, sababu fan hawacakuwagi kitu kizuri bali wanae mpenda 6
  • @
    @zulekhaally35244 years ago Kwan yy tuzo Yann sialipewa na H baba? 😅😅 7
  • @
    @kaseja4 years ago Guys kwanza Harmonize cha kwanza angejiuliza yeye amefikaje level ambayo yuko? Je alipo kuwa ametolewa kimziki kulikuwa na Tuzo. Let him not talk shit anajipendekeza sana kwa uma. Nilikuwa je zilikufa kwa nini? Ushindani wacha watu wapambane..20% anatuzo kibao zinamsaidia nn. Harmony wazingua naona stress za mziki zishaanza kukuingia milioni moja view imekuwa tabu kupata walalamikia tuzo ... 3
  • @
    @ashanalinga87194 years ago Anataka tuzo ya nini yeye sialipewa tuzo na hbaba 😂😂😂 10
  • @
    @kashindimonde96934 years ago Huyu jamaa anakingereza kweli hata nyimbo zake za kingereza huwa zina nichekesha sana. 9
  • @
    @kashindimonde96934 years ago Ukimfatilia vizuri utahona anavyo danganya watu 3
  • @
    @janevacharles85614 years ago Tatzo la harmonizer nikwamba mpaka hapa anafika tuzo kwake ni ndoto aibu gani hiyo 5
  • @
    @fazeelshomary27044 years ago Hakuna tuzo zitakazokuja kuwa fair bongo sabab tayar mashabiki washagawanyika sehem makundi mawili na na sas hiv kidogo , na nature ya watz ni ushabik mwingi kuliko uhalisia. Media ambazo zilitakiwa ziwe wasimamizi wakuu wa Tuzo tayari zina wasanii wao, usitegemee tuzo bongo unless waandaaji woteke nje! ... 2
  • @
    @agwalubifaridah70794 years ago Harmo ukimuona mendez mpe Salam zangu. 1
  • @
    @BigZhumbe4 years ago Yeye si alikua anamwambia Ibra kua asiamini kama kuna janja za mitandao imekuaje??? Kama zinauzwa si na yeye anunue ili ashinde tuzo? 1
  • @
    @ashrafrajabu64644 years ago Tuache kuzungumza ujinga sometimes Harmonize toka awe nje ya WCB ngoma iliyoenda ni uno peke yake aache kuona kama anaonewa mziki wake hauendi mjini management yake inaachia ngoma hovyo tu kisha analilia tuzo, ipeleke Tanzania kimataifa unakuja kulilia tuzo ndan ya Tanzania ni upuuzi ... 12
  • @
    @kaburaakbar48384 years ago Baada ya mziki kumshinda anatak tunzo za clouds hahaha si unajigamba kama uko wa kimataifa kachukue sasa tunzo za kimataifa kama diamond platnumz na alikiba na rayvany iko na Bet award wey huna lakin unajigamba mbele ya wenye tunzo zao wemeikaa kimaya ... 5
  • @
    @jumamsaka20494 years ago 😁😁😁😁😁😁 Mimi sio levo za kushindana na wasani watanzania aya tulikuelewa mzee baba unaejigamba ww ndio msani mkubwa Tanzania mbn leo unaregea matapishi yko,,,,Nishawai kusema mashabiki wa harmonize na uyo harmonize vichwa vyao ni sawa na makondo tu ama wasichana😁😁😁Kama tuzo za injee tu ww atukoni bongo utawezana na nani...?? Basta wana akili jamani wanajua wakitengeza mashindano km aya tuzo zitaenda wasafi coz mm sion km bongo kuna msani wakumshinda mondi ... 10
  • @
    @thelonewolf44294 years ago Hata hizo tuzo ziwe, mafisadi wamziki tz watafanya yao labd konki3 ndio awekwe kama msimamizi mkuu wa hizo tuzo... 2
  • @
    @johnkatabi97934 years ago Mzee baba angalia sana utapotea hili game, siyo tu watu wanapokushangilia kwenye stage halafu unavimba kichwa chunga sana siku hizi huna mvuto angalia sana! Ikibidi omba msamaha
  • @
    @zediannazedi22454 years ago Mimi kama Mimi nimehona jama ,kabuma adi tuko za uganda ana zikosa ,alijifanya mkubwa ahenda akashindane na wanigeria uko kama mond na kiba walivyo shindana nawo 3
  • @
    @ilynpayne74914 years ago tuzo hazina maana cha msingi pesa bwana ama TUZO zina liwa ? 1
  • @
    @lutifiaussi37284 years ago Mnategemea tunzo za watu za njee chimbuko huanzia nyumbani mtabaki tu kilasiku wanaigeria wako juuu mbwa nyee saminini Cha kwenu
  • @
    @soudybrown14944 years ago Tuzo za bongo hazipo fair,tuzo za bongo ni kma top ten ya clouds kikundi Cha watu ndo kinaamuwa fulan apate tuzo hata kma Hana vigezo,mshiuuuu harmonz alisema hatak kushindanishwa na wasanii wa bongo level zake wakina Davido aende agombee tuzo za mbele huko ... 7
  • @
    @mamukaalya71094 years ago Hahahahaha kills ur talent dah imekuwa Kuku nn 2
  • @
    @hassan02564 years ago Si Akomae Ashinde Za Kimataifa ? Mbona ni simple tu ... Wenzake wakina Nandy mbona wanashindaga daily na huwezi kuwaona wanalilia tuzo za bongo,,, 1
  • @
    @hamishamis99574 years ago Konde tunzo siulipewa na H.baba jaman au utaka zingine
  • @
    @janatahmad70484 years ago sasa huo harmo sasa tuzo zisipo kuja wafanye jeee atok.huko eti tuzo 3
  • @
    @azizisaidy85534 years ago hayo matuzo ndo yatakua chanzo cha uhasama sasa kama ajui ye ajiamini tu mbona tuzo kubwa zipo nchi za watu huko hapa nyumbani uchawi tu amna ishu wala nini 1
  • @
    @officialmrtop10184 years ago Hahahah baada ya kutoshiriki kwa tuzo za nje na kupata bahati akashiriki tuzo za Hipipo Uganda na kupigwa chini na Mbosso kkkk Diamond akamtandika konde mmakonde kwa kuzibeba mbili akatoka na kizunguzungu kaona duuh nje ya Tz ni moto kkkk karudi kuzililia za kwao Tz eti labda anaweza akafua dafu kkk akomae huu ndo utu uzima ... 1
  • @
    @maryamm77654 years ago Walikua wakipewa bongo move wakawa wanalawama je uko bongo fleva lawama ndio itazidi kila mtu ajiona yeye bingwa
  • @
    @emmaxcaris55304 years ago anatexeka xana huyu kijana na bado...@
  • @
    @bravo38474 years ago Harmonise anaona kila mtu mjinga ndio mana anaogea matope
  • @
    @jamiidigitalonline26444 years ago Tanzania fitna nyingi tuzo za nyumbani hazitufai hatujafikia tayari kuwa na tuzo za nyumbani kutokana na utimu na uhasama
  • @
    @adabethchilla24154 years ago Najua watanzania ni wagumu. Kuelewa mfano Nigeria ni inch moja wapo ambayo inatoa tuzo za ndani ndio maana mzki wao unakua araf mtanzania anashindwa kujionge achen kukoment ujinga akili ya kuambiwa changanya na ya kwako ndo ukoment ...
  • @
    @nightwishisthegreatestband63554 years ago I can assure i don't know anyone who is an avid fan of bongo flava. Face it, the only thing these so called dtars have to hang on to are YouTube views for songs that aren't everlasting. We are tired of the constant stupid drama. Just make ART or find ACTUAL ARTISTS who can. ...
  • @
    @vianmarcel8184 years ago umeungia kwenye tuzo nyingi sana za nje na hujaambulia hata moja, tulia ww, ushajua uko upande wa clouz na efm na unajua kabisa mond hatakuepo coz wanambania ndo maana unalilia tuzo 1