المدة الزمنية 6:39

MAMA SAMIA AFUNGUKA MAZITO

بواسطة Mwananchi Digital
37 708 مشاهدة
0
164
تم نشره في 2020/02/13

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaCCM ambao wameanza kujipitisha majimboni kwa lengo la kuwania ubunge kwenye majimbo hayo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Mama Samia ametoa onyo hilo leo Februari 13 wakati wa maadhimisho ya miaka 43 katika mkoa wa Dar es Salaam, yeye akiwa mlezi wa chama na mgeni rasmi wa maadhimisho hayo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30