المدة الزمنية 1:13:12

MASUMBUKO PART TWO

186 346 مشاهدة
0
605
تم نشره في 2020/05/17

MASUMBUKO...hii nifilamu ambayo inaelezea maisha ya kijana Masu akiwa katika mahusiano na binti NADYA,Masu anapata wakati mgumu sana kutokana na ukosefu wake wakipato ndio NADYA ana anzisha mahusiano na mwanaume mwingine mwenye kipato kupitia ushawishi mkubwa wa rafiki yeke.Masumbuko anapata ugonjwa wa ajabu sana anaoza mwili mzima na anakosa msaada wa mpenzi wake NADYA zaidi anapokea mateso makali na manyanyaso,hatimae ndugu wanamchukua ndugu yao na kwenda kumuuguza Masumbuko anapona nakurejea katika hali yakwaida na anapata ajiri katika moja ya kampuni kubwa kwa upande wa NADYA alitelekezwa na mwanaume aliye mrubuni kisha akarejea kuomba msamaha kwa kwa Masu nae masu pasipo kuwa na kisasi moyoni anamsamehee na wanaendeleza mahusiano yao.Mama yake masu anaingia mjini kumsalimia mwanae lakini Nadya anakataa kukaa na mama mkwe wake na anamuamuru masumbuko amfukuze mama yake mzazi pale kwake Je? masumbuko atakubali kumfukuza mama yake kwa sababu ya kumsikiliza mpenzi wake NADYA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 234