المدة الزمنية 1:26:30

Tume za uchaguzi hutumika kutakatisha madaraka haramu - Othman Masoud

بواسطة Weyani Tv
72 389 مشاهدة
0
367
تم نشره في 2020/10/04

Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud , amesema tume za uchaguzi zimekuwa zikitumika kutakatisha madaraka yanayopatikana kwa njia haramu jambo ambalo ni kinyume na makusudi ya kuanzishwa kwa taasisi hizo. Hayo ameyasema leo katika mkutano wa uzinduzi wa ilani ya chama cha ACT Wazalendo kwa Zanzibar.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 150