المدة الزمنية 10:17

Watu hawataki kuamini kama bado nipo hai - simulizi ya kusikitisha sana | WATU NA MAISHA

بواسطة BILLIONAIRE TV
5 945 مشاهدة
0
41
تم نشره في 2021/07/12

kutana na fredy baba wa watoto watatu ambaye mwili wake una tatizo la kiafya na hivyo unakonda kila baada ya siku, lakini cha kushangaza ni kwamba hata pia mke wake ana tatizo la masikio hivyo ni ngumu sana kwa watu hawa kuwasiliana, njia Pekee ya mawasiliano ni kupitia binti wao ambae anachukua taarifa kwa baba kisha anapeleka kwa mama. #simulizi #simanzi wote wawili walikua wazima lakini ilitokea ghafla baada ya ndoa yao, fredy alianza kuugua maungio ya miguu yake alichukulia kama ni kawaida tuu lakini kadri siku zilivyokua zinazidi kwenda alianza kukonda na kupungua uzito wa mwili ndipo akaamua kwenda hospitali ambako alipo fika walimuhudumia na kumpatia vidonge wakisema kuwa vitamsaidia akitumia vizuri lakini bado ndo kwanza aliendelea kuumwa sasa akaona akaangalie afya kiundan zaidi na hivyo fredy akaenda kuscan mwili mzima na kukutwa na maradhi ya figo, moyo pamoja na tumbo Lake na ili apone ilikua inahitajika pesa nyingi sana, hivyo fredy akaamua arudi nyumbani na madaktari walimwambia Kua hata maliza mwaka mmoja cha kushangaza ni kwamba huu ni mwaka wa kumi tokea fredy aanze kuumwa, mke wake alivyopata taarifa kuhusu mume wake aliendelea kumpenda fredy zaidi kwani fredy humaliza haja zote hapo hapo na hivyo mke wake humsaidia mme wake Kwa kila namna na mtoto wake akiwa anawasaidia wazazi wake kuwasiliana kwani mama huyo anamatatizo ya kusikia na hadi uongeee kwa nguvu sana ndo ataweza kukusikia kiasi ambacho fredy hawezi kuzungumza kutokana na tatizo Lake la tumbo usisahau kutufwatilia YOUTUBE KAMA BILLIONAIRE TV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11