المدة الزمنية 11:8

RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI - JPM

بواسطة Global TV Online
3 663 449 مشاهدة
0
10.5 K
تم نشره في 2019/10/08

"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 08, amewasili wilayani Nkasi mkoani Rukwa, akiendelea na ziara yake nchini ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali... Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza.. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS: /playlist?list ...

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1495
  • @
    @szyjr3148منذ 3 سنوات Kama na wewe bado unafatilia hizi video za hayati raisi wetu gonga like hapa hakika tutakukumbuka sana jemedari wetu dah safiri salama baba sisi tupo njiani pia. 530
  • @
    @galeebkhan0138منذ 5 سنوات This is how we call it good leadership 80
  • @
    @icetruthمنذ 5 سنوات I love President Magufuli. It is a shame for us Kenyans doing nothing for Kenyans other than corruption and fighting for leadership. 33
  • @
    @user-dn2nr2gj7fمنذ 4 سنوات Piga like hapa ya rais dkt magufuli twende sawa 46
  • @
    @eliasgachuna8431منذ 3 سنوات This man was the real deal ,a true blessing to the people of Tanzania.a rare jem . 39
  • @
    @peoplepeople416منذ 3 سنوات Nalia machozi sana nikiwa hapa Nairobi, Kenya . RIP bingwa. 112
  • @
    @ibrahimmhesi949منذ 5 سنوات Hatutafanya uchaguzi kwa nafasi ya Rais huyu tuliye nae anatosha,kama akili yako inafanana na mimi LIKE 410
  • @
    @kittygirlarmy2651منذ 3 سنوات Tanzania will never be the same again he was good human being rest in peace 29
  • @
    @Bigboy-nx3ncمنذ 5 سنوات Only if such kind of leadership existed in Kenya 74
  • @
    @jacoblusana1082منذ 3 سنوات Napitia izi video naskia kulia ,tutakumiss Sana hapa Kenya tulikupenda 121
  • @
    @wycliffeworkdone926منذ 4 سنوات That's what we call President with authority, big up Mr. President. You are one of a kind. 10
  • @
    @abdulihafidhali5379منذ 5 سنوات Hakuna raisi kama magufuli hapa Tanzania. Anae amini hili agonge like hapa 452
  • @
    @justinegichana6693منذ 5 سنوات am watching from nairobi kenya,,rais magufuli is the best i can assure you ,,,anafahamu haki za wananchi wenzake 27
  • @
    @rodgersodhiambo1892منذ 3 سنوات Currently addicted to watching Magufuli's clips.
    RIP Magufuli
    39
  • @
    @pascalpembamoto8611منذ 3 سنوات NEVER HAPPEN AGAIN, WE HAVE LOST A MAN, GOD BLESS JPM. 41
  • @
    @mullamtupa9116منذ 5 سنوات Kama umeskia mama mwenyewe mzuri naomba like zangu apo 253
  • @
    @saudmohammed3390منذ 5 سنوات Magufuli nakuvulia kofia you're the Best 94
  • @
    @leshasky8893منذ 3 سنوات Dah this man had authority .he solved the problems on the sport no divergence . R.I.P Magifuli 4
  • @
    @bolyviahkwamboka9370منذ 3 سنوات His leadership skills will always be remembered 4
  • @
    @abubakaromarkhan1398منذ 3 سنوات Indeed Tanzanians lost the Big fish RIP kiongozi wa Africa we loved you but God loved you more 50
  • @
    @DottRoBrمنذ 3 سنوات I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous id="hidden2" class="buttons"> president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! ....وسعت 22
  • @
    @lusianasanga3010منذ 3 سنوات tutakukumbuka sana wewe nimteule wa mungu❤ 30
  • @
    @errydeo8865منذ 5 سنوات huyu mama ana bahati,asingepata haki yake mpaka afe ,,wanalindana,zimewatokea puani,big up Preez.alowaona wote wangefukuzwa.. 112
  • @
    @mirardor8521منذ 3 سنوات A HERO, LEDER, IS GONE TOO SOON. REST IN PARADISE JPM. 11
  • @
    @elizampeter5958منذ 5 سنوات Ninayofuraha sana ya kuja kumpa kura JPM, 2020 I'm in the way ! From Qatar! 22
  • @
    @annetkhakasa8571منذ 3 سنوات May God bless makufulu I wish one day in Uganda we get a president like you in jesus name 1
  • @
    @nahiyahamdan5281منذ 3 سنوات Tumemupoteza mtu muhimu saaana Tanzania,mukombozi wawanyoge,baba wa Africa nzima,tunalia saaana R.I.P 52
  • @
    @nicksonmgale4699منذ 5 سنوات Hatari sana Rais Magufuli hakika wewe ndiye Rais Bora 244
  • @
    @samuelahebwa1128منذ 3 سنوات wow wow, I can't stop going through all this database of this Great man!!! Rest with God !! 12
  • @
    @hajingangila1558منذ 3 سنوات Haupo tena Baba yetu mwenye huruma mweke pema peponi Amina 6
  • @
    @sharon6674منذ 3 سنوات What a kind leader Tanzania lost! Long live Magufuli, messanger of justice. 2
  • @
    @lukemelyemwenga2910منذ 5 سنوات gonga like hapa kama unamuelewa mheshimwa wetu@jpm ,,, tujuane kabisaaaaa 170
  • @
    @ibrahim1939منذ 5 سنوات This is very impressive. Our type of govt. Simple effective. 61
  • @
    @juliuskasuni7461منذ 3 سنوات I think the cancer of corruption bedevilling Kenya can be addressed quite easily if the President adopted the Magufuli style of leadership where the suspect id="hidden3" class="buttons"> is arraigned in the public arena and asked to explain.
    But the current practice where there is an arrest, one is charged and then given a cosmetic bail can only exacerbate the cancer of corruption.
    ....وسعت 9
  • @
    @ritaopiyo7163منذ 3 سنوات Sure Tanzanians are at a loss. Dr. magufuli really listened to the plight of the poor. kazi ya uongozi ni msalaba kubwa and it needs a lot of patience. Rest in peace Daktari 5
  • @
    @aby21111منذ 5 سنوات The best I've ever seen. I am a tourist who came there twice have something to say. 8
  • @
    @alexsaidi3940قبل 4 أشهر Leadership from heaven, for poor people
  • @
    @abdullahpongwa1537منذ 5 سنوات Aisee Mungu akulinde na akusimamie katika uongozi.
    Amiini
    7
  • @
    @bintiiddy7043منذ 5 سنوات Kura yangu haikupotea ilienda sehem sahihi Mungu akubarki sana Rais wangu ukila unaliwa 174
  • @
    @aiishacali7425منذ 3 سنوات There will never be another leader in Africa like you Mr President.
  • @
    @obedikyajimba1057منذ 3 سنوات Nikisoma comment za nyuma moyo waniuma adi machoz yanilengalenga. Nilikupenda,,, Nakupenda na Nitazidi kukuenz.
    RIP MFALME WA AFRICA.
    26
  • @
    @saumusaliimu3086منذ 3 سنوات Mtetezi wetu atatokea tena kama ww kweli wakuangalia haki za wanyonge 28
  • @
    @malugukushaha6764منذ 5 سنوات Safi sana Rais wetu kwa kuzidi kutenda haki, mwenyezi mungu azidi kukujalia afya njema. 113
  • @
    @adomatichristopher4052منذ 3 سنوات What my president has said is true. Its very bad to transfer criminals instead of them facing the law. This is exactly what happens in Uganda. Officers id="hidden5" class="buttons"> who commit crimes are always transferred and continue doing the same. I love my president John Pombe Magufuli ....وسعت 1
  • @
    @dianatukei9635منذ 3 سنوات I wish Kenya would be lucky to have a leader such as president magufuli, continue resting in peace.you are a true human sir
  • @
    @nadiahussein5892منذ 5 سنوات Allah akulinde anko magu kweli wewe ni mtetezi Wa wanyonge 33
  • @
    @13_amissi52منذ 3 سنوات You are the best father rest in peace dady
  • @
    @josephkoskei465منذ 4 سنوات From Rwanda u guys u really have a good gorvement keep up 13
  • @
    @tumtumkhan3115منذ 5 سنوات Natamani ningekuwa ni mtanzania nikapata Rais mwenye imani kama magufuli 40
  • @
    @youssoufafete5739منذ 2 سنوات Voilà un président que l'Afrique entière a besoins
    J'ai de l'arme au yieux. Paix a son âme
    2
  • @
    @schoolhype1031منذ 5 سنوات wow.when you report your teacher to the principal and the teacher gets punished in front of you during the assembly on Friday.
    Great job Rais!
    4
  • @
    @thulanicele7843منذ 5 سنوات U love u mr president.
    Let him lead for the next 30 years. Tanzania oyeeeess.hit like if y love the Tanzanian president and his leadership philosophy.
    101
  • @
    @rkellyrkelly1424منذ 2 سنوات Honestly, I miss this African stateman,
  • @
    @misschagga8042منذ 5 سنوات Eee mungu sina cha kukulipa kwaajili ya magufuli naomba tu umpe ulinzi wa juu ya mbingu na chini ya ardhi 127
  • @
    @jaklinifaustini4259منذ 5 سنوات Nimecheka asante mungu kwa kutenda haki 35
  • @
    @frankmubiru7535منذ 3 سنوات A practical teacher of nationalism and patriotism - Magufuli was Nyerere multiplied by ten!
    Magufuli, a man with a heart
    No, he was an id="hidden8" class="buttons"> angel among men.
    He had to go back to his eternal home
    Sooner than men wanted him to.
    He belongs to God.
    He is now with God.
    John Magufuli.
    We still need a "Magufulification of Africa" as talked about by Kenya law don, Prof. Lumumba
    ....وسعت 1
  • @
    @munguaibarikitanzanianawat9254منذ 5 سنوات Rais unanifuraisha sana yako mukuu wa dunia zima fangilia rais wa nyonge❤ 33
  • @
    @Mooge-babanمنذ 3 سنوات Indeed this man was a great leader am not a Tanzanian but I can proudly say I have seen one great African leader and will have a story to tell to my grandchildren id="hidden9" class="buttons"> in the future. One thing am for sure it will be very hard to see another one like magafuli ....وسعت 1
  • @
    @onesmusmwololo9859منذ 3 سنوات RIP KING OF POOR, WE WILL REMEMBER YOU FOR THE REST OF OUR LIFE 5
  • @
    @amrukiaisma2255منذ 3 سنوات From Dubai ,you are always hero in africa ,you showed good example within few years 1
  • @
    @robertsimba5081منذ 4 سنوات The heart of serving the poor.God bless you 13
  • @
    @christophercheruiyot5755منذ 5 سنوات Thanks mr president for starting with your people 22
  • @
    @yusraswalah4734منذ 3 سنوات Rest in peace Doctor John Pombe Magufuli no one will replace your party
  • @
    @saidatkhamis4633منذ 5 سنوات Mtetezi wa wanyonge this is a true leader honourable mr.magufuli may u live longer 8
  • @
    @jeanbaptistetuyishime648منذ 5 سنوات Reach the People you're responsible For. Program Initiated By Rwandan President Paul Kagame! So proud of you Mr President Magufuli
  • @
    @evelynemachange5305منذ 5 سنوات Hakika hii ni kwa viwango vingine tumepata Rais jamani CCM HOYEE 123
  • @
    @emoyammbondograndkatanga1280منذ 2 سنوات l'Afrique ne cessera jamais de pleurer Magufuli.
  • @
    @antonybarasa1979منذ 2 سنوات If Africa can find five leaders like Magufuli, I think selfishness will end, Rest in peace JPM you proved why TZ picked you as a president
  • @
    @nicknakola5024منذ 4 سنوات Am from Kenya.I like you magufuli go on to fight corruption 5
  • @
    @selemsigala4771منذ 5 سنوات Waziri wa mambo yandani kawatimua Mh, raisi ao asikari kuanzia OCD na jopo lake hawafai kabisa ni wahuni sana hao ni vibaka Mh,raisi mwache waziri wa mambo id="hidden10" class="buttons"> yandani awatie adabu ao wameonea sana raiya wanyonge kangi piga kazi kwa kazi unayo ifanya napata furaha sana maana irani yetu inatekelezwa na wanyonge sasa wamepata mtetezi wao Mh,raisi kumteua kangi hujakosea ilo jeshi analijua mwachie afanye kazi mpaka wanyoike. ....وسعت 1
  • @
    @kamaukamau6233منذ 3 سنوات Tanzania has indeed lost a true leader in the place of President Dr.J.P.Magufuli 1
  • @
    @anawa4326منذ 5 سنوات Police ‍♂️ walipe ndio watashika adabu na kula Rushwa 124
  • @
    @joyjo2115منذ 3 سنوات Mungu hatutaacha kukulilia,mioyo yetu imeumia Watanzania,Mungu wewe wajua 5
  • @
    @zinaibrahim7004منذ 5 سنوات hongere sana rais wetu mwenyezi mungu akupe umur marefu inshallah 44
  • @
    @saida5091منذ 5 سنوات Mungu akuongoze na kukusimamia kwenye kazi yako ya wito. Amein. 1
  • @
    @emmanuelbonaventura4258منذ 5 سنوات DAH. JPM MUNGU AKULINDE SANA. UNAPIGA KAZI SAA MZEE, KILA MWENYE MACHO KAONA . 25
  • @
    @mayaally2512منذ 5 سنوات Kuna watu wanasema tunauchaguzi 2020 kwa nafasi ya rais .kweli ? Kweli ?
    Ila najua watanzania wanaakili sana wanajua nn wanatka
    10
  • @
    @elizabethmwandu6937منذ 5 سنوات Mungu akulinde Mh Rais kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge .Asante sana kwa kumsaidia huyu mama pasipo wewe haki yake ilikuwa imepotea . 5
  • @
    @peterhano8706منذ 5 سنوات Hongera mtukufu Rais wetu Ubarikiwe kwa kazi yk nzuri 1