المدة الزمنية 1:47

Kinara wa ODM Raila Odinga asema hana chuki na jamii yoyote

بواسطة Citizen TV Kenya
8 488 مشاهدة
0
57
تم نشره في 2021/07/02

Kinara ODM Raila Odinga leo alikuwa kaunti ya Nyeri ambako amesema kuwa yeye hana chuki na jamii yeyote hapa nchini. Vilevile, Odinga amesema kuwa amekuwa akishirikiana na watu wa jamii ya wakikuyu bila uhasama wowote, huku akimkosoa naibu rais William Ruto kwa kile anasema ni siasa za uchumi zilizokuwa na sera. Alizungumza haya katika hafla ya mazishi ya mamake Mamake mbunge wa Bunge ya Africa Mashariki Mumbi Ng'aru yaliyofanyika Nyeri.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30