Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dr.Medard Kalemani kusitisha kuwasimamisha kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.
Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo leo alipozungumza na Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 36
مقاطع الفيديو ذات الصلة على SAKATA LA LUKU, LAFIKA KWA WAZIRI MKUU, ABAINI MADUDU, AWASHUKIA VIGOGO WA TANESCO WAKAE PEMBENI.: