المدة الزمنية 1:44:19

MTOLEA Avuruga Bunge Leo, BASHE Amnyanyua Waziri

بواسطة Global TV Online
49 491 مشاهدة
0
192
تم نشره في 2018/11/06

MTOLEA Avuruga Bunge Leo, BASHE Amnyanyua Waziri!! Ni Mkutano wa 13 wa Bunge la 11, Kikao cha 01, unaendelea muda huu Katika makao makuu ya nchini Jijini Dodoma. Ambapo Kabla ya kuanza kwa kipindi cha Maswali na Majibu, Spika wa Bunge, Job Ndugai, akawaapisha Wabunge Wapya ambao walichaguliwa na Wananchi katika chaguzi za marudio, akiwemo Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara na wengine. #BUNGENIDODOMA Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 39