المدة الزمنية 8:39

DUUH KUMBE NYERERE ALIFICHWA SINGIDA HARAKATI ZA UHURU

بواسطة WazoHuru Media
117 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/12/06

Mkoa wa singida unaendelea na shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa tanganyika ( Tanzania ofisi ya muu wa mkoa ikiwakilishwa na RAS Mwalimu Doroth Mwaluko imetembelea maeneo ya kihistoria ikiwemo nyumba aliyolala mwalimu Nyerere wakati wa harakati za uhuru, kambi za wageruman , eneo walipokuwa wanyongewa watumwa , na makaburi ya jeshi na watumishi wa wagerumani #miaka60yauhuru #tanzaniaimarakaziiendelee

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0