المدة الزمنية 10:52

Acheni kufanya kazi kwa maigizo- Mhe. Jafo

35 899 مشاهدة
0
111
تم نشره في 2021/01/06

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo, ameuonya uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Geita Idara ya Afya kuacha kufanya kazi kwa maigizo, Jafo amesema hayo baada ya uongozi wa kituo cha Afya Kasota wilayani humo kuanza kufanya ya usafi wa jengo la X-ray, baada yakupata taarifa ya ujio wa Waziri huyo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 19