المدة الزمنية 5:29

MBUNGE ALLY KESSY AMSHAMBULIA MBUNGE MWENZAKE UMEACHANA NA MUME WAKO BAADA YA KUPATA UBUNGE

بواسطة Millard Ayo
30 346 مشاهدة
0
169
تم نشره في 2020/06/13

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 68
  • @
    @adammjomba1554منذ 4 سنوات Wewe ndungai umesha kua mzee ni wakati wako wa kutenda haki unawadhulumu sana wapinzani hususani wabunge wa chadema hawachangii chochote dk 10 wanazo ongea id="hidden2" class="buttons"> hata DK 3 hazifiki mara miongozo mara Vile mars DK zako zimeisha ,wewe mzee acha dhuluma ,wewe ni binadamu tenda haki kesho kiama ,yuke mdada Dr Tulia ana afadhali sana Na watu wa mbeya wengi wao ni wapole Na wadini , Mimi yuke m Dada Dr Tulia simjui lakini sura yake anaonesha ana dini Na hofu ya Ahlla sio job ndungai yupo mkali Kali sana Na dhuluma kibao kamdhulumu tundulisu hofu yangu mimi amesha kua mzee Sasa atatubu lini ?kwa Ahlla, , ....وسعت
  • @
    @yusrahkeissy9202منذ 4 سنوات Mpe ukwel wake hyoooo mh keissy kiboko 2
  • @
    @dutchsafari7562منذ 4 سنوات Aliyesikia "tulia ww tulia nikupasheee ujui chochote" hahahahhahhahah 4
  • @
    @novesnuhunathan6105قبل 8 أشهر Huyoo dada untill now n mbungee.kessy yeye aliukosaa
  • @
    @ameknews2315منذ 4 سنوات Ndugu zangu wa Tanzania ninaomba katika uchaguzi wa 2020 tunapotaka kuchagua viongozi naomba tuangalie nani atakuwa muwakilishi sahihi kwetu sio tuangalie id="hidden3" class="buttons"> chama iwe Ccm, Chadema,Act,Nccr mageuzi,Ads ila tuangalie nan sahii kwa kuweza kutetea na kuweza kuwasilisha kero zetu katika bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
    Ahsante
    ....وسعت 4
  • @
    @vitalischarles2714منذ 4 سنوات Mh..Raisi funga hili Bunge Maana limepoteza dira. personal matter zinageuzwa ajenda kweliii Mh Ndungai muogope Mungu..unakera Sana brother 3
  • @
    @jamaa2760منذ 4 سنوات "Kapata Ubunge kamwacha Mume" 6
  • @
    @solemba595منذ 4 سنوات Kwa aina hii ya uwakilishaji, Tutamiss Sana Bunge la Speed and Standards, R.I.P mzee Samueli Sita.
  • @
    @loishiyesamwel1374منذ 4 سنوات Hili ni Bunge la nyuma kabla ya uchaguzi,
    Hapa waliofeli ni kessy mwenyewe au pamoja na Speaker Ndugai.
  • @
    @amotowntz6381منذ 4 سنوات Ndugai muogope MUNGU ndugu yangu, Usilewe madaraka kumbuka MUNGU ndio speaker mkuu
  • @
    @khadeejaabdullah7083منذ 4 سنوات Yaan mh kessy jamn uchelewi kutoa povu
  • @
    @mathiaszakaria7052منذ 4 سنوات Dahhhhh yaani spika Hana double standards kabsa inaonesha anapenda sana wasema ovyo kuliko wasemwa ovyo 1
  • @
    @salimliemba3458منذ 4 سنوات Dada kaingia cha kiume chezea kessy kamaliza kila kitu 1
  • @
    @johariismail2646منذ 4 سنوات SPEAKER ANGALIA KAULI HIZI ZINAGHAFIRISHA WATU.. Bunge linatoka kwenye mipaka na Kuwa mipashoo
  • @
    @philiposhilingi954منذ 4 سنوات Hahaha jamn mmi ni raia wa nkasi kusini lakin naungana na kesi kwa asimia 50% kwa mabadiliko aliyo yafanya nkas kaskazini kiukwel tunatamani Wana nksi id="hidden4" class="buttons"> ata awe mbunge wa nkasi yote kaskazini na kusin maana kusini hatuna mbuge ....وسعت 2
  • @
    @husseinkonz5192منذ 4 سنوات Kiboko ya nyumbu wazush ni babu kessy hapendag ujinga 2
  • @
    @leonardmanyanza1058منذ 4 سنوات Kuhusu bunge lisiwe live hii ndo maana yake 2
  • @
    @tanzaniayetu6973منذ 4 سنوات Daaah hili bunge lisiende kwa uzalilishaji wanamna hii,wanawake watakosa confidence yakueleza mambo yamsingi,alafu utaona tofauti ya mabunge ya wasomi id="hidden5" class="buttons"> na hawa std7,akili ndogo inaendesha kubwa Katiba ibadilishwe kama huna degree hakuna ubunge ....وسعت
  • @
    @stevenngussa9334قبل 3 أشهر Ndio maana hakajarudi bungeni haka kazee, shenxi type
  • @
    @frolasanga457منذ 3 سنوات jamani kapata ubunge kaacha mume..mh!!! inasikitisha sana..loo!!
  • @
    @shabaazbikorwa2580منذ 4 سنوات Spika hauko fair ipo siku utakuja kupata matatizo utakapo toka madarakani usiwi na double standards unapo simamia bunge 4
  • @
    @hajihaji6351منذ 4 سنوات Hawa wabunge hawana tena cha kujadili wamalize tu watokee
  • @
    @anuarabdullrahman5993منذ 4 سنوات Sema huyu mzee anazingua point zake pumba sometimes
  • @
    @margarethsaramaki3966منذ 4 سنوات Huyu hafai uwa anaongea hovyo kweli hana ustaarabu
  • @
    @peterjohn1969منذ 4 سنوات Ndugai chapa kazi usiangalie makelele yawatu wewe angalia hoja niyakweli au la wengine muachie mueshimiwa kesi amalizanenao
  • @
    @peterjohn1969منذ 4 سنوات Mueshimiwa kesi safisana ao wamama walioacha waumezao wasikuzoee kwaajili ya ubunge wasikuzoee wakazie makahaba wanataka kushindana wanawanaume
  • @
    @cazoramahussein1998منذ 4 سنوات et nd spika wa bunge yan anafanya kampen hapohapo math**r F**k
  • @
    @adammjomba1554منذ 4 سنوات Wewe ndungai umesha kua mzee ni wakati wako wa kutenda haki unawadhulumu sana wapinzani hususani wabunge wa chadema hawachangii chochote dk 10 wanazo ongea id="hidden7" class="buttons"> hata DK 3 hazifiki mara miongozo mara Vile mars DK zako zimeisha ,wewe mzee acha dhuluma ,wewe ni binadamu tenda haki kesho kiama ,yuke mdada Dr Tulia ana afadhali sana Na watu wa mbeya wengi wao ni wapole Na wadini , Mimi yuke m Dada Dr Tulia simjui lakini sura yake anaonesha ana dini Na hofu ya Ahlla sio job ndungai yupo mkali Kali sana Na dhuluma kibao kamdhulumu tundulisu hofu yangu mimi amesha kua mzee Sasa atatubu lini ?kwa Ahlla, , ....وسعت
  • @
    @ameknews2315منذ 4 سنوات Ndugu zangu wa Tanzania ninaomba katika uchaguzi wa 2020 tunapotaka kuchagua viongozi naomba tuangalie nani atakuwa muwakilishi sahihi kwetu sio tuangalie id="hidden8" class="buttons"> chama iwe Ccm, Chadema,Act,Nccr mageuzi,Ads ila tuangalie nan sahii kwa kuweza kutetea na kuweza kuwasilisha kero zetu katika bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania
    Ahsante
    ....وسعت 4
  • @
    @philiposhilingi954منذ 4 سنوات Hahaha jamn mmi ni raia wa nkasi kusini lakin naungana na kesi kwa asimia 50% kwa mabadiliko aliyo yafanya nkas kaskazini kiukwel tunatamani Wana nksi id="hidden9" class="buttons"> ata awe mbunge wa nkasi yote kaskazini na kusin maana kusini hatuna mbuge ....وسعت 2
  • @
    @tanzaniayetu6973منذ 4 سنوات Daaah hili bunge lisiende kwa uzalilishaji wanamna hii,wanawake watakosa confidence yakueleza mambo yamsingi,alafu utaona tofauti ya mabunge ya wasomi id="hidden10" class="buttons"> na hawa std7,akili ndogo inaendesha kubwa Katiba ibadilishwe kama huna degree hakuna ubunge ....وسعت