المدة الزمنية 5:53

JOYCE KIRIA BALOZI WA MAZINGIRA

بواسطة WanawakeLive Tv
209 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/07

Naomba kuwaalika rasmi kwenye kampeni kabambe ya kitaifa ambayo inahusu kulinda na kuhifadhi mazingira yetu. Naomba tushirikiane kwenye hii fursa adhimu ya kuisadia serikali yetu kuhakikisha tunalinda mazingira yetu na kuyahifadhi kwa kuihamasisha jamii. Nimewekwa kwenye kipengele cha kuwahamasisha wanawake, vijana na watoto. Tuanze kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala kwa kufahamu aina mbalimbali za nishati mbadala na jinsi ya kuzitumia, garama na kila kutu Timu itakayoungana na mimi Tutengeneze mpango mkakati wetu wa kuwafikia wanawake vijana na watoto kuwahamasisha kuhusu kutunza na kuhifadhi mazingira kwa kutumia nishati mbadala Nasisitiza kwamba Nahitaji vijana wapambanaji tushirikiane kufanya hii kazi kwenye hii sekta ya mazingira. Ni kazi ya kujitolea 👍 Mawasiliano Whatsapp 0783137777 @joycekiriasuperwoman

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2