المدة الزمنية 1:44:10

VANILA FULL MOVIE NEW BONGO MOVIE SWAHILI FILAMU MPYA

688 229 مشاهدة
0
1.9 K
تم نشره في 2020/05/05

VANILA....Ni filamu ambayo inazungumzia maisha ya mwanadada VANILAH ambae alipitia changa moto nyingi hali iliyopelekea kutupwa porini nakusababisha tatizo la kutokuwa na kumbukumbu kwa muda mrefu VANILAH akiwa hana kumbukumbu anaanzisha mahusiano na VICTOR mara Victor anapata safari nyuma yake anarejea likizo ERICK ambae ni mdogo wake anakuta tayari VANILAH amesharudisha kumbukumbu Eric anaanzisha mahusiano na Vanilah pasipo kujua kuwa vanilah ana mahusiano na kaka yake nae Vanillah anashindwa kutambua tofauti ya Victor na Erick.Hati mae Victor anatoka safari kurejea nyumbani ghafla anamshuhudia mdogo wake Erick anafanya mapenzi na mpenzi wake Vanilah.Je kipi kitatokea

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 467
  • @
    @zulachama1067منذ 3 سنوات Waaah filamu nzuri sana nimeipenda mno pongezi za dhati kwenu nyote mlousika kwa filamu hiyo.watching from mombasa kenya . 8
  • @
    @hajirimlongwa7794منذ 2 سنوات Aisee safibsana Mungubawndelee kuwapandisha viwango vya juu zaid 1
  • @
    @thinkingmom1193منذ 4 سنوات English subtitles will be greatly appreciated. Jah bless, one love from Martinique. 7
  • @
    @user-hf2pk9gc7yقبل 8 أشهر Muvi nzuri nahasa kwa makulati mama anajuwa kuleya kwa mapenzi makubwa furaha yangu zaidi mshona viyatu na mkewe walipendana kupita kiyasi bilakujali kipato chao
  • @
    @zulachama1067منذ 4 سنوات Mashallah mapenzi mbasharaa hapo chacha sasa vanilla na vikta kazi kwenu ndipo,kula hiyo halali yako 2
  • @
    @rirumasoft113منذ 3 سنوات Here I am rirumasoft I love sanau sana hongereni 2
  • @
    @prisceralfani3287منذ 3 سنوات Nice!!. aise nimeipenda San movie hii 1
  • @
    @onesmusmwendwa3966منذ 2 سنوات Nzuri sana filamu hio yapendeza kweli moulana awajalie neema zake muendelee hivyo na zaidi, watching from Nairobi Kenya 2
  • @
    @felixinyas5050منذ 4 سنوات Nakubal damu zangu kazi Nzur gud Mboka town 1
  • @
    @abdinasirdaro4714منذ 4 سنوات Sanau nice movie nawapenda snaa fans y sanau 1
  • @
    @neemakarisa4220منذ 4 سنوات Sanau wako na movie safi sana.yaani hazichoshi kutazama 1
  • @
    @joycekaducha5803منذ 4 سنوات Kuwapenda ndo kitu nayojuwag asanteni kwa kazi nzuri sahau 1
  • @
    @emmyjessuorene6565منذ 3 سنوات Movie nzuri sana aise nimeipnda hongereni 2
  • @
    @noushaddammam8805منذ 3 سنوات sikuizi muvi zenu nzuri kushinda muvi za naigeria saluti kwenu 1
  • @
    @user-dd5hq3zj8gقبل 7 أشهر Kazi nzuri sana hii picha inamafunzo mazuri ❤❤ 1
  • @
    @hasnajuma5567منذ 2 سنوات huwa mbanikoshaga sana na video zenu naenjoy kweli yani 1
  • @
    @sheilamdachi9346منذ 4 سنوات Nawakubali sanaa wana sanau.hongereni nyote munajua
  • @
    @othumaryemanuel296منذ 3 سنوات Mama Victor ni pisi Kali wadau mmeonaaaa 1
  • @
    @neemacriss2397منذ 4 سنوات Sanau Bhn Amjawah Kuniangusha.Hongeren Kwa Kaz Nzurii 1
  • @
    @riyahemed8712منذ 4 سنوات Ndugu ni kufaana c kufanana udugu wenu wa dhati nyc movie
  • @
    @jumamkongowe8870منذ 4 سنوات Bongemoja ya filamu salut cn kwenu sanau 1
  • @
    @mwaijasamatta4012منذ 4 سنوات Sijawahi kujutia MB zangu kwa mov zote za sanau, mpo juu bg up sn, mnaweza, mov nzr sn. 3
  • @
    @mokadesniper1591منذ 4 سنوات Yaan hii move itabak kuw move bora ya mda wote. 3
  • @
    @upendomatinya6851منذ 4 سنوات Movie nzuri san, nawakubali san sanau mpo juu kiukweli,muv zenu zinafundisha sana, ma watch Nikiwa Iringa Tz
  • @
    @bintihassan6534منذ 4 سنوات Mashaallah SANAU wanamafunzo mazuri snaa 1
  • @
    @sarapaulo4718منذ 3 سنوات Kabla cjamaliza kutaza hii mv nmeshajuwa kuwa bubu na kaka wataoana 1
  • @
    @agarabaمنذ 4 سنوات Naiangalia live kutokea New Delhi India! Kazi nzuri sana. 5
  • @
    @mgenitsuma8141منذ 4 سنوات Movie nzuri xna kuna mlio mmoja nakupenda kweli 1
  • @
    @minnahlove7035منذ 4 سنوات Nzri Sana nampenda sana huyo mama akee na vikta 3
  • @
    @agathadenis3207منذ 4 سنوات Noma sana mimi na mpenda mama vict na watoto wake wazur jomon 3
  • @
    @nurafedrick378منذ 4 سنوات Mama masu Leo mrembooo hatari mkamwana ndo doctor
    Mapenzi hadi hotelini twendekaxi
    1
  • @
    @justinbudaho7984منذ 4 سنوات Kweli mumecheza vizuri sana, Mungu aendeleye kuwaongeza maarifa makubwa. 3
  • @
    @sitivinivalence375منذ 4 سنوات Huyu mama ana rohoo nzuri Kama mama yangu (mungu amraze Mali pema pepono mama yangu) 6
  • @
    @lydiamuli3328منذ 4 سنوات Nice one!barikiweni sana kwa mafunzo yenu
  • @
    @joycelufunda8230منذ 2 سنوات Nzuri sana yan kama live vile mmefanya vizuri tena kwa hisia 1
  • @
    @sadickmakanwah2076منذ 4 سنوات Sanau nangalia move yenu live aisee naomba kujiunga nanyi niendelezee kipaji changu 2
  • @
    @nurafedrick378منذ 4 سنوات Rohoo imetua sasa nilidhani victor atabaki akilia kumbe anachekaaa sasa ndoto yake imetimia wooow huuuu ndoundugu kaxi zuri lkn hiyo nyimbo yachini ai 1