المدة الزمنية 6:34:14

LIVE: MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) -

بواسطة Azam TV
37 970 مشاهدة
0
203
تم نشره في 2020/07/11

CCM yawasha taa ya kijani, wagombea wake wa Urais ni Dkt. John Magufuli na Dkt. Hussein Mwinyi kwa Zanzibar Aliyekuwa katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana asamehewa huku kufukuzwa kwa Membe kukibarikiwa Ungana nasi katika uchambuzi wa habari mbalimbali katika Alasiri Lounge huku taarifa kubwa ikiwa ni uteuzi wa Dkt. John Magufuli pamoja na Dkt. Hussein Mwinyi kupeperusha benedra ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kwa Tanzania Bara na Zanzibar. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2