المدة الزمنية 2:32

Mchungaji abatiza kwa kutumia Pombe, Asema wanaishi katika kivuli cha Mungu

بواسطة Dar24 Media
33 806 مشاهدة
0
31
تم نشره في 2017/11/05

Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza waumini wake kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu. Askofu Tsietsi Makiti, (52) ambaye pia ni Mwanzilishi wa kanisa hilo linalojulikana kama ‘Gabola’, amesema kuwa ameongozwa na maandiko katika Biblia ambapo Yesu alibadilisha maji kuwa divai. “Watu wanao kunywa na kubatizwa na bia wana furaha na amani. Hii inamaanisha kuwa wanaishi katika kivuli cha Mungu,”amesema Askofu Tsietse -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 22