المدة الزمنية 6:17

Rafiki mkubwa wa Mwalimu Nyerere, mtoto wake walivyoguswa na Mpoto, washindwa kujizuia

بواسطة Daily News Digital
313 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2020/07/12

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamekaribishwa katika chakula cha mchana na Mweyekiti wa chama hicho, Dk John Magufuli ambapo shughuli hiyo iliambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2