المدة الزمنية 8:00

Bila WOGA, LIJUALIKALI Kaingia BUNGENI, Amuomba WAZIRI MKUU Jambo HILI

بواسطة Global TV Online
26 978 مشاهدة
0
103
تم نشره في 2020/05/05

Bila WOGA, LIJUALIKALI Kaingia BUNGENI, Amuomba WAZIRI MKUU Jambo HILI... Licha ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kuwaagiza wabunge wa chama hicho kutohudhuria vikao vya bunge la bajeti linaloendelea kwa sababu ya hofu ya maambukizi ya Virusi vya Corona, Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali amekaidi maagizo hayo na kuingia bungeni. Wabunge wengine ambao wamepuuza maagizo ya Mbowe, ni Jaffar Michael (Moshi Mjini), Cesilia Pareso, Latifa Chande, Joyce Sokombi, Mariam Msabaha na Suzan Masele (wote viti maalum). BAJETI ya makadirio ya wizara ya Viwanda na biashara, imeanza kujadiliwa Bungeni leo Mei 05, baada ya waziri mwenye dhamana, Innocent Bashungwa, kuiwasilisha Bungeni hapo... Awali, Mbowe wakati akitangaza uamuzi huo, alisema wameamua kuchukua uamuzi huo ili kuwanusuru wabunge wa chama hicho dhidi ya maambukizi ya Corona, hasa baada ya wabunge kadhaa kupoteza maisha kwa maambukizi ya virusi hivyo. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline JE, NA WEWE UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com OUR PLAYLIST: HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 44