المدة الزمنية 4:11

Harison Mwakyembe azungumzia kanuni mpya za TCRA kwa vyombo vya nje

بواسطة BBC News Swahili
2 982 مشاهدة
0
30
تم نشره في 2020/08/11

Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya mawasialiano nchini Tanzania TCRA, siku ya Jumatatu kuvitaka vyombo vya ndani kapata kibali cha kuwaruhusu kurusha matangazo kutoka vyombo vya habari vya kimataifa imeendelea kuzua mjadala ndani na nje ya nchi. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania Dkt. Harison Mwakyembe amesema serikali imeweka utaratibu ambao utawaezesha kujua chombo ambacho kimejisajili, kinarusha matangazo Tanzania pia kimempata mwenzake wa nje ambaye anarusha matangazo hapa Tanzania. #bbcswahili #mawasiliano #Tanzania

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8