المدة الزمنية 5:57

Chapati za Atta kutumia wholemeal flour/How to make wholemeal Atta paratha

1 902 مشاهدة
0
29
تم نشره في 2020/04/19

...Chapati Za Atta/wholemeal 🔹ingredients ya chapati mpaka 13 🔹 Inategemea cup ulotumia 5 cups wholemeal flour/atta Vijiko viwili na nusu vikubwa samli laini Maji baridi utakisia kueka kidogo dogo inategemea na ngano yako Chumvi kisia au tia kabisa kwenye maji alafu utatizama yawe na chumvi ya kutosha kukandia unga Extra Robo siagi na mafuta 1 cup yayusha pamoja kwa tabaki unaeza mix na samli Extra unga kwa kukanda 🔸Mataarisho🔸 Kwenye mashine au mkono mimina unga wa Atta wako alafu mimina maji yako na uanze kuchanganya Ukisha kusanyika uzuri tia samli yako uuponde mpaka ufanyike donge laini/toa law mashine kanda tena kdgo kwa mkono Paka mafuta juu funika wacha kwa 20 mnts Fanya maduara yako size moja yote Sasa fanya tabaki yako unavopenda mwenyewe mpaka umalize yote (unaweza kufanya pleats, au fanya tundu kati alafu roll upate kamba moja au upendavo)kama video Iwache dakika kumi na uanze mataarisho ya kuchoma Utasukuma duara uanze kuchoma na wakati wa kugeuza utatia kama vijiko viwili va mafuta, ilokua mix na samli iloyayuka kama vijiko kikubwa sana tumia kimoja tu Ukimaliza wacha zipoe kidgo alafu wrap na foil mpaka wakati wa kula. By LayMoz's Zenji Delicacies. Enjoy 🍜🍲

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6