المدة الزمنية 1:6

Lebanon yaomboleza vifo na majeruhi wa mlipuko wa Beirut

بواسطة Azam TV
1 899 مشاهدة
0
16
تم نشره في 2020/08/05

Mlipuko mkubwa uliotokea jana katika mji mkuu wa Beirut nchini Lebanon umesababisha uharibu wa miundombinu pamoja na vifo takribani 100 ikiwa pamoja na majeruhi zaidi ya 4000. Kwa mujibu wa Rais wa taifa hilo Michel Aoun amesema mlipuko huo ulisababishwa na tani 2750 za kemikali aina ya amonia nitrati. Kemikali hizo pia hutumika kwa ajili ya vilipuka na zilikuwa katika ghala la bandari ya Beirut kwa takribani miaka sita pasina uangalizi wa kiusalama. #AzamNews #BeirutExplosion #PrayForBeirut #Lebanon #Beirut Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 2