المدة الزمنية 1:17

Sarafu Duka Janja

بواسطة Sarafu
243 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/02/27

Duka Janja ndo hili hapa sasa! Suluhisho la manunuzi yako yote ya bidhaa za dukani kupitia smartphone yako tu. Kuwa mjanja tumia Sarafu kununua bidhaa zako zote za dukani kwa bei chee kabisa na uletewe bure mpaka dukani kwako. Kizuri kula na mwenzio, fanya kumshtua Mangi hapo pembeni atupigie 0800 785 555 bure tumpe maelekezo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1