المدة الزمنية 8:35

Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.

بواسطة YIB
528 492 مشاهدة
0
2.6 K
تم نشره في 2020/01/18

Thamani ya miili yetu Ni kubwa sana, lakini thamani ni namna kila mtu anavyo itatathmini, ndio maana kila mtu hufanya anachokiona kinamfaa katika mwili wake, wenye kujitoboa, wakujikoboa,wenye kubadili rangi, wenye kukuza vinavyokuzika, hadi roho siku hizi hubadilika kutoka kuwa na roho nzuri mpaka kuwa na roho mbaya, kiufupi hakuna kinachoshindikana katika mwili huu wa binadamu.! Ila yote yanaweza kuwa mabadiliko ya kawaida ambayo tunakutana nayo kila siku, lakini kuna mabadiliko mengine lazima yakuache kinywa wazi.. Ndio maana tumekuandalia watu hawa 6 waliofanya mabadiliko ya kushangaza katika miili yao.! Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: Music from https://filmmusic.io "Gregorian Chant" by Kevin MacLeod (https://incompetech.com ) License: CC BY (http://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 307
  • @
    @maisywangeshi6230منذ 4 سنوات Wow I love Ethan ❤️ kwa hooked on the look I think it's cool venye ali split tongue 2
  • @
    @mariamsamuson8323منذ 4 سنوات Hii ni laana, Allah tunusuru waja wako 10
  • @
    @kalssambaboo9705منذ 4 سنوات Mmh kweli binadam hatuna shukran kwa allah jee allah angetuumba hivo situngelaum 3
  • @
    @husnahassan4771منذ 4 سنوات Mbn walikuwa wazur tuu Yarabbi, Allah Tunusuru 7
  • @
    @umikulthumhamisi8311منذ 4 سنوات Ewe mola tunusuru sisi wazazi pamoja na vizazi vyetu. AMINA utuepushe na baya yakilimwengu AMINA.yarabi 12
  • @
    @beatricekilonzi8378منذ 4 سنوات Mungu hapedi kabisa. kwani akiumba mtu jinsi alivyo alikuwa mjinga? 9
  • @
    @mgenigambo2562منذ 4 سنوات Dalili ya mwisho ya dunia mungu tunusuru
  • @
    @bukuruguilainelwashiga9366منذ 4 سنوات Eh mungu wangu, wanadamu awajuwe wakitakacho 1
  • @
    @joymsupagladysijeya8384منذ 4 سنوات Ngai mungu wangu nisamehe nini hii ishidwe, 1
  • @
    @sqxirrel_iv684منذ 4 سنوات Hao ndo watu shetani aliwasajili kabisa innalillah rajium 15
  • @
    @dafrozaabdallahman4809منذ 4 سنوات Wanajiona wamependeza ila wametisha mungu hachezewi kihivyo.! 2
  • @
    @africa7479منذ 4 سنوات Akili ikizidi kichwa nayo ni balaa piaaa 1
  • @
    @jonesnyakundi7122منذ 4 سنوات Maajabu duniani watu kumkosoa mungu na kuanza kujibamba
  • @
    @qaltumsaid3095منذ 4 سنوات Kweli hao wamevunja rikodi. Inna lillah wainna lillah raji'un 66
  • @
    @hamongukecha8944منذ 4 سنوات Wabongo mmeona hyoo?? Wazee wa kuiga igeni na hvyo!!! 10
  • @
    @mabeekeniya9710منذ 4 سنوات Ewe mungu wetu tusamehe kwa matendo tunayo tunayoyatenda
  • @
    @mwanahamisjuma689منذ 4 سنوات Washajipa mihuri had I kesho kwa mungu inalilahi 1
  • @
    @paulinasemindu1292منذ 4 سنوات dunia,simama nishuke sio kwa uchz huu jmn 2
  • @
    @gloryren7162منذ 4 سنوات Huyo aloweka visu puan cjui ana pua kubwa kiasi gan aahahha dunia hii uwiiii
  • @
    @khamishamad5758منذ 4 سنوات Subhana allah kuna watu ata sijui wana akili gan
  • @
    @rukiaiddyyahaya9506منذ 4 سنوات Nimecheka eti watu wengine hubalika kutoka katika roho nzur had roho mbaya 1
  • @
    @lightnesseramson7654منذ 4 سنوات Jamani Hawa Kuna roho inayowaongoza sio bure 9
  • @
    @mwatimaabdallahaji2452منذ 4 سنوات Allah ametuthubitishia kuwa amemuumba mwanadamu ktk umbile lililobora kabisa.yn kama hiz tundu za mackio ningekuwa ckutobolewa udogoni bas mwili wang ucngekuwa na tundu nyengine baada zile za lazima
  • @
    @allykutenga2862منذ 4 سنوات Almarhum Bi Kidude alisema shibe ikizd sana basi wa2 huzuwa mabalaa.. 12
  • @
    @barakajacobs4539منذ 4 سنوات What pooooooooooooooh hiiii dunia kweli kumbe lilishapasukanga zamaniiii tuuuuGod forbid! This is demonic!!! 3
  • @
    @fatmapanaguiton9783منذ 4 سنوات Hatakama ungelikuwa utajiri Mimi siwezi 4
  • @
    @lovevivy7459منذ 4 سنوات Mpaka roho zinabadilika kutoka kua nzuri hadi mbaya,kaka anaua kwa kicheko hhh intro kali
  • @
    @jojojojo-my7vwمنذ 4 سنوات Watu wenyew woote wamekua wabayaaaaaaaaaaaaaaaa 1
  • @
    @josephndunda6390منذ 2 سنوات it's true that human beings are mad
  • @
    @allisonmadii7620منذ 4 سنوات Kiukwel naangalia huku ninahofu..afu nimemaindi kinoma yaani mwili jinsi wanavoiaribu sijapenda kabisa yaani maamake zao.. 2
  • @
    @fadhilikawambwa1586منذ 3 سنوات WATU WA KUZIMA HUJULIKANA HAPAHPA DUNIA
  • @
    @shemmastershaaban77منذ 4 سنوات ukiwa hujielewi utafanya kila kitu. laanasumaka
  • @
    @sarakondo3844منذ 3 سنوات Ohhh mapembe tna bas at onesh vy sehem za siri
  • @
    @ammyphilimon6971منذ 4 سنوات Wakija tz tunakimbia tukihofia mtoa roho za watu
  • @
    @divinebernard2624منذ 4 سنوات Akili ya mtu njo wazimu wake ,sijuwi wenzetu wazungu wanashida gani
  • @
    @magynzioka1122منذ 4 سنوات Shetani atawakana kabisa mahama MUNGU aliwapa hakili zaidi yakujua mema na mabaya lakini mwanadam nani hata shetani ukaha pembeni na kushanga mnatenda thambi zaidi yake 1
  • @
    @abdiraufmustafa6364منذ 4 سنوات Watu wamekuwa na ilmu ya kupoteza sheitani. Yaa Mawlaana
  • @
    @daughterofzion.9624منذ 4 سنوات Huu ni urembo ni ushetani ama ni mchanganyiko wa maroho machafu imezidi hii 10
  • @
    @mustaphagairo1936منذ 4 سنوات Alafu bado unakaa unaxema hujawahi kumwona xhetani live
  • @
    @jerrysonshayo1557منذ 4 سنوات Mwingine kaweka hadi pembe. Alitamani kuwa ng'ombe naona 12
  • @
    @dalyadull706منذ 4 سنوات Nimeangalia had nahisi kichefu chefu wanavyotisha 25
  • @
    @gmukavanaمنذ 4 سنوات Siku ya mwisho mtajibu hayo yote mliyoyafanya
  • @
    @bintimohammed3233منذ 4 سنوات Mashetani ndio yako hivi sasa innalillah waina ilehi rajiun 2
  • @
    @michaelmichael3883منذ 4 سنوات Waende kwa Babu yao akawajaze Tena ujinga wamehalibu shoo tenahivi Vitu wasingeonyesha hakuna anae pendezewa na sura hizi
  • @
    @damarisndanu6655منذ 4 سنوات Jameni wanadamu Wana Mambo.Mungu katuumba kwa mfano wake mbona tuharibu kazi yake ya uumbaji?Siku ya kiama mtamwambia Mungu aje?
  • @
    @asayubeejr1199منذ 4 سنوات Hhhhhhhhhh dah nyege mbayaaa jamani mungu wangu Alie nichekeshe yule alie jitoboa visiginooo eti yuko mbioni kujitoboa mpkaa magotinii haya kweli akili hizo jamani 6
  • @
    @rehemacharles6128منذ 4 سنوات Kwakweli inachekesha mpa mtangazaji mwenyewe anachekesha
  • @
    @user-il1bv6vs9qمنذ 4 سنوات Satanic act an satanic bondage
    Satanic connection
    I command devil loose the grip in Jesus mighty name Amen
    I send holy ghost fire to release u an set u free in Jesus mighty name Amen
    11
  • @
    @hawoille4748منذ 4 سنوات This ones are simply competing with God,,Allahu Akbar,,,,,they are telling God,*you didnt create us how we r supposed to be,so let's do it for ourselves*,,AlhamduliLlah
  • @
    @nancyclerah9457منذ 4 سنوات Hawa watu wafaa wapelekwe kwa phsychatric hospital.hawayuko wazima kabisa.Mungu alituumba kwa mfano yake tunaweza mshinda maarifa tukaanza kujiharibu kwa id="hidden6" class="buttons"> vipini Mara kutoboa mguu.alafi hiyo background sound inafanya nakuwa muoga..waaah ....وسعت 7
  • @
    @peterpetero8852منذ 4 سنوات The bible says our bodies are the temple of GOD mbona mnatoa Mungu makosa na vile alikuumba my brother my sister there is GOD oooooh judgement day is coming
  • @
    @officialsalmazayn9720منذ 4 سنوات Mungu baba dunia inakwenda kasi aki daah hadi nahisi joto 6
  • @
    @mwajumamohamedi3534منذ 4 سنوات Nilikuwa nakutafuta nashukuru nime kupata leo mana nime baadili cm napenda kusikukiza simulizu zako japokuwa zina tisha
  • @
    @straightkonect1613منذ 4 سنوات Nimegundua binadamu ndio wanaforce collabo na shetani
  • @
    @nassorhamad5225منذ 4 سنوات Nawabafilishe roho waweke roho isio kufaa ndo itakua wemetengeza vinginevyo itakua wamejihaributuu 3
  • @
    @gladystinga1562منذ 4 سنوات Shetani b muongoo sana YESU KRISTO ALIMFUNZA ADABU 3
  • @
    @aishamuhammad7785منذ 4 سنوات Yaani huu ni ujinga ALLAAH atuongoze ktk twaa yake
  • @
    @rayyanabdul5233منذ 4 سنوات meme nimebaki nimeduwaa ht sielewi yaani 5
  • @
    @nasranassor2333منذ 4 سنوات Mafiraauni wanajiadhibu kabla hawajakufa
  • @
    @jojojojo-my7vwمنذ 4 سنوات Yaan Hawa ni WAPUMBAVU KWA KIWANGO CHA LAMI 18