Kesho kwenye Sebuleni ya Plus TV na GiftSwai, Skawa JR & Kevin Lameck tutaangazia mambo matano ya upekee aliyokuwa nayo Marehemu Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia siku ya jana.
Ni mambo yapi na ni kwanini matano, usikose Ijumaa hii kuanzia saa 1 kamili za asubuhi LIVE on DStv channel namba 294.
#Sebuleni #ZaidiNaZaidi
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MAMBO 5 YA MAALIM SEIF: