المدة الزمنية 3:23

Kutawazwa kwa spika Muturi kunaendelea kuibua migawanyiko ndani ya jamii ya mlima Kenya

بواسطة KTN News Kenya
10 531 مشاهدة
0
37
تم نشره في 2021/05/26

Kutawazwa kwa spika wa bunge la taifa justin muturi kuwa msemaji wa jamii ya agikuyu, kunaendelea kuibua migawanyiko ndani ya jamii ya mlima kenya, kuliko namna inavyounganisha jamii hiyo. leo, baadhi ya magavana kutoka eneo la kati, wakijitokeza na kudai kwamba wako mbioni kuunganisha jamii yao, wanapojiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. haya yanajiri, baada ya kundi moja la wazee wa jamii ya kikuyu likifutilia mbali kutawazwa kwa muturi kuwa msemaji wa mlima kenya. emmanuel too na mengi zaidi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17