المدة الزمنية 10:7

MZEE wa UPAKO ATEMA CHECHE, CHANJO ya CORONA - MAGUFULI HAKUPINGA CHANJO

بواسطة Global TV Online
22 376 مشاهدة
0
59
تم نشره في 2021/07/28

MZEE wa UPAKO ATEMA CHECHE, CHANJO ya CORONA - "MAGUFULI HAKUPINGA CHANJO" MCHUNGAJI Anthony Lusekelo, amekuwa miongoni mwa waalikwa walioshuhudia uzinduzi wa chanjo ikulu jijini Dar es saalam na alipopata fursa ya kuongoza sala ametumia fursa hiyo kuwasihi Watanzania kutoiogopa chanjo na kusema nia ya serikali ni nzuri... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 150
  • @
    @jifunzekuhusuwewe7475منذ 3 سنوات Umeongea Point sana Askofu, Hao wengine wanaleta siasa uchuro tuu.atleast wangediscuss hizo chanjo kwa view ya uhalisia wake, manufaa yake na ulazima id="hidden1" class="buttons"> wake.na je ni kweli ni chanjo inayofaa? Kwa kuangalia nchi ambazo wameshachanja , na kwa kuangalia mda uliotumika kuandaa chanjo na kuithibitisha kwamba inafaa kama kweli ni mda utoshao kwa hayo yote hapo sawa sio siasa siasa, Ila Umeongea fact sana , Waobwabwaja bwabwaja hawana elimu na masuala ya Afya wanalishwa maneno, Mungu atusaidie Ila Chanjo ni Muhimu, sasa watutoe kafara ili iweje kwa sababu gani, Watanzania Wengi hatuna Elimu ya Kujitegemea hata wavivu kufikiri, ....وسعت
  • @
    @linamacha7686منذ 3 سنوات Gwajima tupo nyuma yako mtumish wa Mungu 4
  • @
    @JehadAlzadjaliمنذ 3 سنوات Atutakiiiiiiiii chanjooo chanjeni familia zenu mmemgeuka baba magu kweli 5
  • @
    @nickodemsimchimba594منذ 3 سنوات Daaa kweli usimwamini Mwanadam huyu nae katugeuka watanzania?????BISHOP GWAJIMA tupo na wew Baba 15
  • @
    @marykanute6127منذ 3 سنوات Yesu Kristo!! mbona haya ya usaliti yamekuja mapema?. Au ndo muda wake? Naomba uniongezee Imani iliyo thabiti Baba nisimame nawe mpaka mwisho.Kweli ulisema id="hidden2" class="buttons"> tuonapo haya tuinue vichwa vyetu tukutazame wewe tuuu nakutazama wewe tuuu Baba Wa mbinguni.Chakutumaini sina iladamuyakoBwana ....وسعت
  • @
    @alfoncewiliam6680منذ 3 سنوات Leo kabadilika amesahau aliokua akisema .mungu tusaie 2
  • @
    @rahabumwangoka6803منذ 3 سنوات Mungu anaangalia mwisho usipotelee mwisho anton
  • @
    @eliyajeremia1447منذ 3 سنوات Hili nalo limegeuka jamani hii hatali sasa kigeugeu umegeuka ulisema Mutawala asiemujua Yusuphu nawewe muhubili asie mujua yusufu toka umehongwa kibara id="hidden3" class="buttons"> ww ngwajima Asikofu usigeuke wenye Imani tukowengi kama shedraka meshaki naebinego ....وسعت 4
  • @
    @josephatmathayo2355منذ 3 سنوات Kumywa sumu kwa kujua Ni sumu, uone Kama hautokufa wewe. Hata Yesu hakutaka kumjaribu Mungu kwa kumtii shetani. Acha utani kwa maswala sirias 2
  • @
    @passmarkinvecoltd3660منذ 3 سنوات Umemsahau Mungu
    Ama kweli shetani ametuvamia nya kutosha.
    Hatuna wa kutusemea Mungu tuvushe kwenye joka hili
    2
  • @
    @poulndimila4588منذ 3 سنوات Yesu alisema usimjaribu mungu wako waupoko WW ipo cku 2
  • @
    @raymonddarwingsofia3484منذ 3 سنوات Et nae kamsahau Mungu anaemtumia anasalimu watu kwa jina la jamhuri ya Tz, badala ya kusalimu watanzania kwa jina la Yesu kristo, mh hakika umefika muda id="hidden4" class="buttons"> wa kuwaibua wajiitao watumishi wa Mungu feki na wale walio sahihi kwa Mungu wa Kweli. ....وسعت
  • @
    @sharifumohammed779منذ 3 سنوات Awap!!!!!!!!!! Kwanguhiyopointi sjailewa mzeee wa upako 1
  • @
    @reubenedward4946منذ 3 سنوات Mzee umefel sana nilikua nakuaminsana duuh 1
  • @
    @brunomirambi8792منذ 3 سنوات WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA 8
  • @
    @shaddybmc8342منذ 3 سنوات GWAJIMA NDIO MSEMA KWELI. ANGEKUJA GWAJIMA HAPO 1
  • @
    @joshuason557منذ 3 سنوات Wabongo muko na Imani Kali ??Mmmhhh Yani chanjo hamutaki kabsa ⁉️ 7
  • @
    @stevensosipita2851منذ 3 سنوات GWAJIMA MTU WA MUNGU TUTAKUFA WOTE HATUTATUPA MSALABA MPAKA GOLIGOTHA YESU ANARUDI WAPENDWA WAMUNGU NIWAKATI SASA WAKUPAZA SAUTI MPAKA MBINGU ZISIKIE HAKIKA id="hidden5" class="buttons"> TUTASHINDA KWA DAMU YAMWANAKONDOO ALIYEHAI MILELE NA MILELE YEYE YULE JANA NA LEO amina ....وسعت
  • @
    @ilovejesus666منذ 3 سنوات Wewe kama mzee wa upako muombe uyo mungu wako aondoe corona ko wew apo unatusibitishia kua chanjo inanguvu zaidi ya mungu wako 5
  • @
    @kabogeof9597منذ 3 سنوات Tukichanjwa hatutaambukizwa? Na barakoa hatutavaa?
  • @
    @elishakayagwa9371منذ 3 سنوات Kakobe na hili jambazi et mzee wa upako ni wasanii tu ila ninamshkru Mungu amewaweka wazi. Anguko lenu ni baya sana wwmsaliti
  • @
    @geraldleger5793منذ 3 سنوات Watumishi wa Mungu na wa shetani tutawaelewa tu nyakati hizi za mwisho.
  • @
    @joshuamsimbe904منذ 3 سنوات Sumu haionjwi anayo kutete Mungu sio yakufanya kusudi ,usimjaribu Bwana Mungu wako,
  • @
    @zawadijuma5112منذ 3 سنوات Kwaiyo kama nimhubiri wazamani inatusaidia nn acha kutudanganya
  • @
    @allengodlove2628منذ 3 سنوات unatupanga tuchanjwe eti kwa kusema tukila vya kufisha kwa bahati mbaya havita tuzuru. hakuna bahati mbaya hapo. kama TZ inamungu ni kwa nn Usiwashauri waTZ wamtegemee mungu.
  • @
    @beaugosseadam6831منذ 3 سنوات KIFO CHA HAYATI SHUJAA JPM KIMEDHIHILISHA NAMNA WATANZANIA WALIVYO. OGOPA MTU MNAFIKI KULIKO MTU MUUAJI. MAANA MNAFIKI NI MTU MBAYA SANA KULIKO MUUAJI. id="hidden7" class="buttons"> UKIONA MCHUNGAJI, ASKOFU, SHEIKH AU KIONGOZI WA SERIKALI ANAGEUKA BILA KUHOJI AU ILE AUTOCRITICS HUO MUOGOPE. ....وسعت 8
  • @
    @ilovejesus666منذ 3 سنوات ety hata mkila vya kufisha hamtakufa kale sumu sasa 3
  • @
    @shaddybmc8342منذ 3 سنوات UJASIR WA MTUMISH WA MUNGU NI KUSEMA KWELI. KAMA WAKINA DANIEL , SHEDRACK ,MESHAKI, NA ABEDNEGO. WALE NDO WALISIMAMA KWEL . LEO TUNAOGOPA SANA JAMAN MWEEE 1
  • @
    @thelatestvideos6266منذ 3 سنوات the fact that ememention mennonite nipo na wewe ✌️❤️
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات Hunachakufanya mbona kipindi cha jpm corona Amna nyinyi wote c mlikuwepo
  • @
    @basilisamsaka8469منذ 3 سنوات Mmmmmmmmh woga wa maisha,huyu baba abaunga mkono haya!
  • @
    @johnvascogodfrey7070منذ 3 سنوات Duuu hatari Hadi mzee wa upako kasaliti
  • @
    @rosemaryhassani570منذ 3 سنوات Ukila sumu kwa makusudi unakufa, Mungu anamsaidia yule anakula sumu bila kujua.
  • @
    @alinewast6240منذ 3 سنوات Praise God we are in Uganda , I'm no longer follow Ur preaching on Azam TV do you still be there,on which Chanel should I follow you please
  • @
    @jobamampuya5933منذ 3 سنوات pesa ,, PESA TAMU WEWE asikwambie mtu, Dollar Midollari hiyo.. lazima uipende .. One year of free Old wine meeeen.. 3
  • @
    @mwalimunyemba6183منذ 3 سنوات Mzee WA upako boya toka happo embu mshiike nyoka akuache
  • @
    @jobamampuya5933منذ 3 سنوات hivi ndo wewe Mzee wa upako.. Dollar ni bora kuliko maisha ya watu kwa uweza una- quote na maandiko, lakin si ajabu maana aliaanza devil mwenyewe 4
  • @
    @ezekielkandonga9238منذ 3 سنوات Mwaka huu tutajua tu Watumishi Wa Kweli na Wachumia Tumbo,Yangu Macho tu.Yaani Watumishi Mnawaaminishi Watu kupiga Chanjo Kuliko kumtegea Mungu???,Maisha ya mtu hayajaribiwi wambieni Watu Ukweli na si Vinginevyo?
  • @
    @fredymwashiwawa6638منذ 3 سنوات Mzee wa upako .acha kujipendekeza Kwa wanadamu utaitwa mnafiki Kwa waliokuheshimu . 1
  • @
    @happynesssamwel2917منذ 3 سنوات Cha ajabu na wewe leo umekaribishwa hapo lol pesa ilimsaliti Yesu ndo naona hahahaaaaa adi wewe lol 4
  • @
    @stevensosipita2851منذ 3 سنوات MIMI NA FAMILIA YANGU ANDAENI BUNDUKI ZILIZOJAA RISASI MAANA UKOO MKUBWA SANA UNAOMTEGEMEA MUNGU SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU HATUTACHANJA HATA MMOJA MKISEMA id="hidden10" class="buttons"> SHULE MTOTO AWE NA KADI YACHANJO YAMZAZI BASI WATOTO WATAACHA SHULE WATAENDA KUCHUNGA NG'OMBE HAKUNA NOMA.SISI TUNAIMANI NA MUNGU SIYO KIUMBE WAMUNGU KAMA NYIE WACHUNGAJI MSIYOKUWA NA IMANI. ....وسعت
  • @
    @geraldleger5793منذ 3 سنوات Kanywe sumu sasa uone Kama hutakufa ! Unajipendekeza ndioo.
  • @
    @reganshaoمنذ 3 سنوات Hahahahaaha kwahiyo hii tunachanjwa kwa bahati mbaya? Acha kupotosha
  • @
    @alphakimuyan300منذ 3 سنوات Acha unafiki ww .
    Mchumia tumbo ww
  • @
    @ilovejesus666منذ 3 سنوات Chanjo feki dini yako pia feki ata wew ni feki pia 2
  • @
    @barnabasmajige8473منذ 3 سنوات lusekole mbona hauna msaimamo na Mungu acha kuwa Mpumbavu wa kujipendekenza kwa Rais ambea na yy sio kila kitu ktk maisha ya Mwanadamu.
  • @
    @stevedeus7870منذ 3 سنوات Yuda msariti hujurijana unaongea unaomba mbona kinafiki
  • @
    @floragordian7927منذ 3 سنوات Anaomba utafikiri anazika nchi.
    Hapa anawaza Sana hiyo chanjo anayoenda kupata, inakuwaje.
    Pesa ni mbaya kwakweli..
  • @
    @barnabasmajige8473منذ 3 سنوات Acha kujipendekenza ww kumbe ni chizi hauna haya.
  • @
    @NadiaNadia-gb7zsمنذ 3 سنوات huyu mzee ana raana sisi watanzania kwa pamoja hatutaki chanjo tutakufa kwa amry ya mwenyezi MUNGU
  • @
    @danielmarahu4629منذ 3 سنوات Atawe umeshindwa kuomba Mungu koronaiondoke Tanzania mzee waupako nilikuanina ila sasa kwangu nakuona kama upo frimason una Mungu mahana muda alipo kua id="hidden11" class="buttons"> ai joon ukimsifia kumbe unafata upepo wewe nakuona kama bendera wana waisraeli wanaangalia musa alimuuliza Mungu je wewe umeshindwa kumuuliza Mungu? mungu aise sasa kwanini ulisema ukiona chanjo imekuja utajua ohoooooo ujue kainuka farao mbonanatena ukasema watuurumie kwaiko io ndoile uruma ? Mungu akusaidie nakukusame pole sana Mungu amsaidie ngwajima pamba usipapase macho ....وسعت
  • @
    @yukundajanuary7063منذ 3 سنوات Walioko filimasoni hawawezi kuikataa kwasababu 666 walisha ipokea
  • @
    @ezramichael7038منذ 3 سنوات Nyinyi fanyeni sehemu yenu sio kila jambo kila mmoja apitie, kama. Chanjo shughulika nayo mwenyewe
  • @
    @chatchamegera508منذ 3 سنوات Mmewajengea watanzania hofu alilolipiga vita magufuli ktk taifa hili
  • @
    @danielmarahu4629منذ 3 سنوات Watanzania mimi nashangaa awawatu kwanini awakusema abri yachanjo magufuli akiwa aii ? Mbona wanatushawishi tuchajwe kulikoni? Wanajua nini? Kwenye chanjo? Atutajie chanjo
  • @
    @deusinkayamba3676منذ 3 سنوات Ama kweli na wewe ni Kibalaka wa Wazungu boya wewe
  • @
    @emmanuelowiti8217منذ 3 سنوات Imefika wakati wa kuangalia juu tu,na sio hawa wanadamu.kwani nyie wachungaji mbona mnabadilika kama vinyonga hivyo.wakati huu ni wa ufunuo 6:5-6.farasi id="hidden13" class="buttons"> mweusi ameinuka juu ya uso wa dunia,watu wanapimwa imani.adui yako,hawezi hata siku moja kukupenda kiasi hicho mnachosema,ila msitumie nguvu namna hiyo. ....وسعت
  • @
    @ramadhanitangani861منذ 3 سنوات Na wewe naye unamsaliti mungu kweli mla rushwa wewe magufull alikataa kabisa chanjo we muongo unataka cheo serikalini???
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات Mweshimiwa raisi Maraya wa MABEBERU anataka kuwamaliza Watanzania kwa Kuferi shule
  • @
    @brunomirambi8792منذ 3 سنوات RUDIA FUNGU HILO. HATA TUKILA VYA KUFISHA KWA BAHATI MBAYA HAMTAKUFA SASA WATANZANIA TUNAKULA NA TUNACHANJA MAKUSUDI KWA KUJUA KABISA SASA HIYO BAHATI MBAYA MBONA UNARUKA HUIZUNGUMZIII BAHATI MBAYA??? 2
  • @
    @capteinchuimchafu7894منذ 3 سنوات Wee mzee ukinywaga ndo unaongeaga utupolo
  • @
    @kingbuddah6372منذ 3 سنوات Nguvukazi wote watakua mandigiri kipindi hicho Wewe ushakufa. Mbwa wewe