المدة الزمنية 26:37

AMBER RUTY NA MUME WAKE WAFUNGA NDOA MARA YA PILI/AANGUSHA KILIO/TUME-UPDATE NDOA YETU/NAJIONA MPYA

بواسطة Carrymastory
25 301 مشاهدة
0
234
تم نشره في 2020/06/21

SIKU ya jana Amber Lulu na mpenzi wake Davil wamevalishana tena pete ya ya kwa madai ya Update penzi lao na ndoa ya kwa ujumla kwani wamepitia misukosuko mingi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 667
  • @
    @rosechild5021منذ 4 سنوات I laughed so hard I nearly pee myself 3
  • @
    @doriceukwama9451منذ 4 سنوات Dah. Tunashukuru mnatutoa stress.baada ya kuwaza shida zetu tunaangalia utahira wenu 111
  • @
    @thabitnasibu1436منذ 4 سنوات Ila msiwabeze sana jamani wakati mwingine waombeeni dua wafike mbali! 23
  • @
    @MrAmuhindeمنذ 4 سنوات I love it , mungu awabariki mdumu na ndowa yenu 3
  • @
    @agnesmwita2474منذ 4 سنوات Tz ukifa kwa stress Basi umeamua mwenyew 89
  • @
    @brandinakizito3541منذ 4 سنوات Nani alieona sugu za Devi kwenye mikono 6
  • @
    @maimunamwaren5885منذ 4 سنوات Yan nilikua nahasira leo mawazo lkn dah we mpiga picha mungu anakuona 1
  • @
    @rukiamwakinyo5324منذ 4 سنوات Mwenyez Mungu nakuomba unipe miaka mingi ya kuishi hapa duniani HAPPY FATHER'S DAY TO ME 1
  • @
    @mwanahalimamwachili9679منذ 4 سنوات Mchicha Ulianza Kama M,buyu,Mabrooq Hongereni Vyenye Mlipatana Mkiwa 2,Mkikosana Pia Mfunge Midomo Yenu.Kila la kheri. 4
  • @
    @zuhuramsuya6874منذ 4 سنوات Kweli nimecheka mpaka rah yani mume niondolea hasira Mana kunamtu aliniboa Atari 3
  • @
    @wilsonrobby4364منذ 4 سنوات Hawa watakua Na mapungufu Ya Akili Akyamungu Koti km La mjomba Nishai 24
  • @
    @zubedasima1864منذ 4 سنوات Mmmmh mungu awasaidie mana kama si akili zenu sijui mnakwama wapi
  • @
    @user-pe4ep6ui3jمنذ 4 سنوات Nimechekaa atariiiiiiii,,, mbavu zangu mieee,,, 3
  • @
    @maylynmayor6497منذ 4 سنوات Advertising the wedding dress.
    Hustling is real.
    Anyway I love the dress some1 should marry me please
    6
  • @
    @estermbise4277منذ 4 سنوات hii ndoa imefungwa fungwaje? Mbona haieleweki
  • @
    @esterdoriye4304منذ 4 سنوات Eti surprise kati umevaa kabisa shela hahahahaaaa raha sana 1
  • @
    @husseinsalimmaula4254منذ 4 سنوات Bongo nomaaaaa mapicha picha tu kila siku
  • @
    @user-xy8mh5id1lمنذ 4 سنوات Jamani hongeren kama umeskia mbuyu kama mchicha
  • @
    @zuukim7694منذ 4 سنوات Cjawah kucheka hv, haya ngoja nicheke ili stress nlzo nazo zpungue
  • @
    @hishamadnan1977منذ 4 سنوات Hawa wanalaana kwa kweli..Mungu awaongoze hawa.kwa kweli hawajui wanachokifanya.dah! inaskitisha sana!!
  • @
    @remikimola9557منذ 4 سنوات Mmh ndoa nitakatifu lakn watu wamegeuza nimchezo wakuugiza
  • @
    @tushdon9726منذ 4 سنوات Bwana harusi mbona kama teja vile?.
  • @
    @babymansouth1164منذ 4 سنوات Mmesikia Mchicha Unaanza kama Mbuyu Ambaaa vitukooo Mungu awabariki sana Mkifa MZIKANE WALLAH MSIACHANEEE K ABISAA RAHA JIPE MWENYEWEE KWELI NYIE MNAJUA KUJIPA RAHAA 8
  • @
    @khamoshmikidadi9262منذ 4 سنوات Koti km limetundikwa kwny henga kha n iyo ndoa wamejifungisha wenyewe hawa hawajaozeshwa n mt 1
  • @
    @bimumaulid1171منذ 4 سنوات sasa hivi fanyeni biashara acheni kufirana hadharani 1
  • @
    @rukiamsomi6869منذ 4 سنوات Hi jamani hii ndoa ya ngapi nyinyi si mlisha owana ila uyo bhana hajapendeza
  • @
    @ollgfgv9872منذ 4 سنوات ku update ndoa wangapi washawahi ku update ndoa zao nani kaiona pete ya buza 1
  • @
    @joslinchuwa1298منذ 4 سنوات Yaaani cna Mbavu nimecheka mpaka nimelia jamani mungu nisameheee
  • @
    @happysalva9480منذ 4 سنوات Jamani yaaani Mimi hawa uwaga siwaelewi Maybe ndo wame okoka ivo 2
  • @
    @dalianakerefu490منذ 4 سنوات Hiii move inaitwaje jamani ila mtangazaji huendi mbinguni eti koti la jeje
  • @
    @kessynurutajiri4940منذ 4 سنوات Mmmh!!!!. Hamna la maana. Mlivyopeleka Polisi mlikuwa hamuhitajiani? Hamna cha maana hapo. Pete mbele ya Waandishi wa Habari? Kwio. 4
  • @
    @fridahkabiritho2165منذ 4 سنوات Kwani mtangazi anatangaza mpira mbn cjakuelewa mm
  • @
    @dottnatt7110منذ 4 سنوات Kiki hizi Jamenii.haya tunashukuru kwa kututoa stress 3
  • @
    @kimmenelus7835منذ 4 سنوات Yaani cjui hata BWANA HARUS ANAKUNYWA NINI HAPO
    Nawatakia ndoa njema
    8
  • @
    @khadijaodumo415منذ 4 سنوات Nimekwama hapo kwa koti na long'i ya jejemtangazaji weweee mungu anakuona 1
  • @
    @jayratumaulid582منذ 4 سنوات Mtangazaji umenichekesha jaman daah 1
  • @
    @lissapoul5227منذ 4 سنوات Hakuna siku nimecheka kama leo..hawa watu walitakiwaga kuwa makomedi. 4
  • @
    @shufaiyammohd5623منذ 4 سنوات Hiii suti ya bwana harusi veeeepeeee mbona kubwa km blauzii 2
  • @
    @shufaiyammohd5623منذ 4 سنوات Kalklet ni calculate
    Duh.jamani
  • @
    @jocyalex7957منذ 4 سنوات Hakika kwenye ndoa huo kunakugombana na kupatana Mimi nakwanza nawapongeza nawaona niwatu ambao ni majasiri sana hamjali maneno yawatu endeleeni kupendana wapendwa
  • @
    @utapatatabusanautanyooka2600منذ 4 سنوات Yan Hawa ndoo wanawapa faida watu wamidiamataahila hawa 2
  • @
    @chantalgakima2276منذ 4 سنوات Hawa mataira wamenifanya nicheke kwa sauti 6
  • @
    @roselinasandi6509منذ 4 سنوات Ama kweli ndege wanaofanana huruka kw pamoja paaaaaa
  • @
    @mamahusein4476منذ 4 سنوات Sasa.bwana arusi anachibuaga ila ktk harusi ameshindwa kujichubua
  • @
    @ratifayahaya9833منذ 4 سنوات Yani awa. Wasenge unaweza kuwatia vibao
  • @
    @abdulgeuka3985منذ 4 سنوات Mende kala shuti mzee wa mavi yani hapo ndio umekamilika kuwa mende zaidi
  • @
    @halimahamis3907منذ 4 سنوات Huyu kk nimpoleeeeeee au anaumwaaa? Mbona ivyo
  • @
    @robinsenuwizeye3778منذ 4 سنوات Harusi zisokuwa nawazazi wao sinilana iyo kweli 4
  • @
    @madammanka2731منذ 4 سنوات Ama kweli kila mwenye stress apitie hapa
    I love tz..stress free zone
  • @
    @bentyomary9044منذ 4 سنوات Nimecheka jamani wanavituko watu koti La jeje sijalielewa
  • @
    @hildembilinyi7346منذ 4 سنوات Hilo koti sijui haukupima kaka daa ukisimama kituko.
  • @
    @raymondmsuya7127منذ 4 سنوات Hawa watu huwa nawapenda wananitoa stress japo sidhani km Ni wazima wa akili