المدة الزمنية 18:19

SHEKHE KIPOZEO: MIZIGO YA KICHINA/ KUONGEZA MKE/MZEE YUSUPH KUIMBA/WANAOMPONDA AKIZUNGUMZIA MIZIGO

بواسطة Carrymastory
37 651 مشاهدة
0
191
تم نشره في 2020/06/17
عرض المزيد

تعليقات - 77
  • @
    @sideboy2739منذ 4 سنوات We carry mwambie mfanya kazi wako aulize maswali ya msingi anamuuliza shekhe et VP kuhusu wanaume wanaovaa ereni sasa unategemea shekhe aseme wavae au 2
  • @
    @omanoma5446منذ 3 سنوات Shekhe, kipozeo, nakupenda, sana, lakini, nipo, mbali, Tena, nakupenda
  • @
    @leilamehbub948منذ 4 سنوات Asc my favourite sheikh anapenda ukweli na Wala haogopi yeyote isipokuwa Allah mashAllah
  • @
    @leilamehbub948منذ 4 سنوات Jamani mwacheni sheikh akisema mzigo hamanishi mambo mengi hiyo mnadhani la . 2
  • @
    @sanuranassoro7660منذ 4 سنوات Shekh wa maana hafanyiwi interview na wahuni 3
  • @
    @twaibumikidadi7377منذ 4 سنوات yaaa
    akili zina gredi
    safi kabsaaaaaaa
    nakupata sana shekh wanguu!
    ndıoo shekh cc tunakueleqaa sanaaa wala ucwe na khofuu
    .
    ...وسعت
    1
  • @
    @kadulathumani7517منذ 4 سنوات Nakupenda interviewer. Maswali yako yametulia kwa Skh Kipozeo ingawa majibu yake Skh mengine anayabana bana Tunafaidika sana na Ma story TV. Like it.
  • @
    @officialkamduduمنذ 4 سنوات kwa kweli mimi swala la nyimbo katika uislam haijalishi unaimba nini kwa kweli bado linanipa ukakasi kwa sababu uislam umeharamisha ala za mziki.
    aya tumuachie Allah ndiye mjizi zaidi
    5
  • @
    @ismailyussuf1805منذ 4 سنوات Shk wangu KIPOZEO wachaneni na huyo mwandawazimu. Msijishugullishe nae.Mwambieni a click YOUTUBE YA JENNIFER GROUT.AONE FROM MUZIC TO RECITE THE HOLLY QUR'AN. 2
  • @
    @hemedmselem4889منذ 4 سنوات Yeye mwenyewe huko siku za nyuma alipinga nyimbo zote
    Na alikua akuwasema sana waimn maulid na kaswida
    Leo anasema ni ruhsa kuimba
    Ni shekhe ambae haeleweki tu
    2
  • @
    @athumanmakale8221منذ 4 سنوات Shekh Kipozeo ushapoteza Dira. Huna jipya.
  • @
    @gojvon116منذ 4 سنوات Sheikh huyu kwa kweli inaonesha kuwa ni mtu mzima na mwenye busara na hikma sana na ni mtu anaempenda Allah na kumuogopa na mtu mtaratibu na mwenye kufahamu na kuelewa .
    Allah ambariki sana
  • @
    @drnathanstephen.3882منذ 4 سنوات Haha Sheikh Kipozeo yupo vzr sana.
    Pitia na Channel yangu upate kujua Mengi kuhusu afya yako. Mada mbalimbali za Afya zipo huko.
    2
  • @
    @mustaphambwana7944منذ 4 سنوات Shehe mzigo ana penda mizigo yani misambwanda ndo yake ana penda wadada walio Nona viswaswadu kwake hapana yani uyu mzee noma kweli 2
  • @
    @daudi.gilago5846منذ 4 سنوات Rojah bahna hyo salam umetoa kama we mwisalam kwel 2
  • @
    @athumanmakale8221منذ 4 سنوات Kipozeo naye amerudi Mjini kazi kubwa ni kusifu wasanii wa Muziki. Kutoa fatwa ambazo hazina kichwa Wala miguu. 1
  • @
    @omariselemani3962منذ 4 سنوات Yani
    nyinyi
    Mnayokomenti <s="buttons">br />usenge
    kwaniakipenda
    Mizigo
    kunashidagani
    Kwaniyeye
    Sibinadamu
    Au
    Kweli
    hakilikunagred
    .
    ...وسعت 1
  • @
    @sabrinasab2910منذ 4 سنوات Huyu shehe anapenda wadada walonona nyuma ndo zake uyo 2
  • @
    @alihijiiddi8977منذ 4 سنوات WAHARIBIFU NI WAIMBAJI NDIO WANAHARIBU WATU WANASIYASA NA MATIVII BOTAILIKUWA NYERERE ALIKUWA ANATIZAMA TV KWA KUANGALIYA NCHIGANI ZIMEPATA UHURU
  • @
    @shaloboy3861منذ 4 سنوات Nyimbo zote haram sheikh ameteleza kias kama binadam inaeleweka mana akuna aliekamilika na elmu utofautiana 4
  • @
    @ummialey6391منذ 4 سنوات Nyimbo za heri ndo nyimbo gani shehe tunapenda ufafanuzi
  • @
    @sudaissoud3670منذ 4 سنوات Nyote ndo walewale..nawe pia kipozeo ndo hao
  • @
    @ambrosiamlinga8402منذ 4 سنوات Basi una choyo kusema ‘hupendi thawabu ziende kwa watu wengine’
    Wewe ni shehe wa wapi mwenye choyo?
  • @
    @saidmarley4049منذ 4 سنوات Huyu sheikh fake kama simu za kichina.vp unasema nyimbo inafaa ambapo ina mkaribisha shetani kupoteza watu kwenye maaswiya???? 1
  • @
    @messiomy8655منذ 4 سنوات Salaf ndo wenye dinii .wootee hawa waigizajiii tuuu.huyo sheh na anaemuongelea ..wote ngma droo
  • @
    @twaibumikidadi7377منذ 4 سنوات yaaa
    akili zina gredi
    safi kabsaaaaaaa
    nakupata sana shekh wanguu!
    ndıoo shekh cc tunakueleqaa sanaaa wala ucwe na khofuu
    .
    ...وسعت
    1
  • @
    @omariselemani3962منذ 4 سنوات Yani
    nyinyi
    Mnayokomenti <ss="buttons">br />usenge
    kwaniakipenda
    Mizigo
    kunashidagani
    Kwaniyeye
    Sibinadamu
    Au
    Kweli
    hakilikunagred
    .
    ...وسعت 1