المدة الزمنية 4:00

WALICHOKIZUNGUMZA WANDISHI WALIOLIPUKIWA NA MITUNGI YA GESI

بواسطة Mwananchi Digital
583 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2020/04/06

Waandishi wa habari wawili kati ya wanne waliokuwa wakiuguza majeraha hospitali ya rufaa mkoa wa Morogoro baada ya kulipukiwa na mitungi ya gesi, wameruhusiwa kurudi nyumbani kufuatia afya zao kuimarika. Waandishi hao ni pamoja na Omari Hussein wa kituo cha Startv, Salumu Yusufu (Abood media), Hassan Ninga (Imaan media) na Nicolas Mwanalusi wa Globtv ambapo Machi 14 mwaka huu walilipukiwa na mitungi ya gesiwakati wakichukua picha katika tukio la nyumba kuungua moto mtaa wa Mafisa Mzambarauni.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0